Njoo nikupe 500kMsaada mtu anipe properties ya hii machine,
Generation ya ngap?
Kama kuuza fair price ni bei gani?
Coz nililetewa tu kutoka UK
Reason ya kuuza
Ninazo mbili, hii nataka kusukumaView attachment 2357856
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyo jamaa mbishi sana
Afu ni wale watu ambao wanajifany wachambuz wa mtandaoni
Ukienda dukani ndiyo utajua bei ya laptip 7th g and above
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Umeiona comment ya mkwawa kuhusu hii machine?Njoo nikupe 500k
Nimeona karecommend 800kUmeiona comment ya mkwawa kuhusu hii machine?
Pale machinga core i3 ni 250k mkuu, jamaa PC sijui wanaziokotea wapi wale, kwa laki 3 kupata i5 ni kawaida. Ina maana kule machinga ukiwa na laki 5 unapata mashine kali sana.Kama unamaanisha dukani mpya hupati, lwa laptop nzuri you need around laki 8 kupanda kupata core i3 gen za karibuni.
Laki 3 mpaka 4 tafuta used core i3/i5 gen ya 4 mpaka 7 ni reasonable.
Yap used,Pale machinga core i3 ni 250k mkuu, jamaa PC sijui wanaziokotea wapi wale, kwa laki 3 kupata i5 ni kawaida. Ina maana kule machinga ukiwa na laki 5 unapata mashine kali sana.
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Inawezekana kabisa.Yap used,
Issue ya kkoo wengi hawachukui wenyewe mzigo nje, yoyote anaeshusha mzigo wanauza huo huo, anayeleta mzigo akikosea tu basi basi soko zima wanakosea.
Mr i3 kuanzia Gen 7 kwa matumizi yakimtandao unaweza ukashauri nini hapa, na upgrades zake vipi unaweza zi upgrade vitu flani flani?Hakuna utofauti wowote mkubwa baina ya gen ya 4,5,6,7, anaeuziwa gen ya 7 kwa bei ghali ndio anaepigwa.
Na zipo machine nyingi tu used i3 gen ya 6/7 kwa around laki 4, simple google search utaziona.
Core i3 ama Ryzen 3 online as cheap as $250, plus usafiri unapata vizuri tu kwa laki 8, na hata hapa Tanzania if you look carefull unapata simple search i3 10100u ideapad 3 nimeiona capricon 900,000 na hao capricon wanauza vitu bei ghali. i3 ambazo kidogo bei zake zinakua juu ni gen ya 10 icelake na 11 tigerlake ila hizi zinazoishiwa na U kuanzia Gen ya 10 kushuka ukipigwa milioni imekula kwako hazina thamani hio.
Mkuu logic ya comment ya juu gen ya 2 mpaka ya 7 hakuna utofauti sana processor zake, mfano unakuta machine ya laki 4 ina gen ya 4 na machine nyengine laki 7 ama 8 gen ya 7 bora tu ununue gen ya 4, utamiss vitu kidogo sana.Mr i3 kuanzia Gen 7 kwa matumizi yakimtandao unaweza ukashauri nini hapa, na upgrades zake vipi unaweza zi upgrade vitu flani flani?