Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,228
- 44,234
Hakuna utofauti wowote mkubwa baina ya gen ya 4,5,6,7, anaeuziwa gen ya 7 kwa bei ghali ndio anaepigwa.Mkuu Generation ya 7 nani akuuzie laki 4? Labda kama anauza nae hajui machine! Generation ya 3,4,5 kwa laki 4 fresh unapata core i3 au core i5!
Core i3 kwa laki 8 dukani haiwezi kuwa mpya full box ata siku moja! Iwe 8 Gen au 9 au 10 au 11 Generation hupati! Zile Intel ndo utapata kwa laki 8 mpya ila core i3 full box au core i5 lazima itafika milion na kitu itategemea na Generation tu.
Hizo za laki 8 dukani ni Refurbished au used za mtaani wale nao wanazuweka vzr na wanauza ata laki 9
Chukua hiyo ya Oscarngala, hutojuita.Kwa bajeti ya shilingi laki 3 mpaka laki 4 ninaweza kupata laptop aina gani dukani?
Alicho ongea huyo jamaa hapo ndiyo ukweliHakuna utofauti wowote mkubwa baina ya gen ya 4,5,6,7, anaeuziwa gen ya 7 kwa bei ghali ndio anaepigwa.
Na zipo machine nyingi tu used i3 gen ya 6/7 kwa around laki 4, simple google search utaziona.
Core i3 ama Ryzen 3 online as cheap as $250, plus usafiri unapata vizuri tu kwa laki 8, na hata hapa Tanzania if you look carefull unapata simple search i3 10100u ideapad 3 nimeiona capricon 900,000 na hao capricon wanauza vitu bei ghali. i3 ambazo kidogo bei zake zinakua juu ni gen ya 10 icelake na 11 tigerlake ila hizi zinazoishiwa na U kuanzia Gen ya 10 kushuka ukipigwa milioni imekula kwako hazina thamani hio.
Pentium gen ya 12 ina nguvu kushinda machine yoyote mainstream g7, kununua G7 kwa milioni ni unapigwa vibaya mno, even gen ya 8, 9 na 10 cofee lake inapitwa na pentium mpya.Alicho ongea huyo jamaa hapo ndiyo ukweli
Laptop g7 na kuendelea core i3 ni milion
Intel inside ndiyo zinaanzia laki7
Chin ya hapo ni laptop za zamani
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile ap
Hii ni Gen ya 8 mkuu, si chini ya laki 8Msaada mtu anipe properties ya hii machine,
Generation ya ngap?
Kama kuuza fair price ni bei gani?
Coz nililetewa tu kutoka UK
Reason ya kuuza
Ninazo mbili, hii nataka kusukumaView attachment 2357856
Wanaitwaje mkuu+255737020602
Wacheck hao jamaa kwa whatsapp, wanapatikana Morogoro, ni waaminifu sana, na wana bei nzuri sana, na pc zote ni refurbished, nilishaagiza monitor na ssd, na unalipia mzigo ukishaupokea stendi
Shukrani mkuu[emoji120]Hii ni Gen ya 8 mkuu, si chini ya laki 8
2019 nilinunua lenovo 8th gen 1M, brand new.Mkuu Generation ya 7 nani akuuzie laki 4? Labda kama anauza nae hajui machine! Generation ya 3,4,5 kwa laki 4 fresh unapata core i3 au core i5!
Core i3 kwa laki 8 dukani haiwezi kuwa mpya full box ata siku moja! Iwe 8 Gen au 9 au 10 au 11 Generation hupati! Zile Intel ndo utapata kwa laki 8 mpya ila core i3 full box au core i5 lazima itafika milion na kitu itategemea na Generation tu.
Hizo za laki 8 dukani ni Refurbished au used za mtaani wale nao wanazuweka vzr na wanauza ata laki 9
Mimi ni nani nimbishie Chief! Sawa Chief nimekubali maelezo yakeHakuna utofauti wowote mkubwa baina ya gen ya 4,5,6,7, anaeuziwa gen ya 7 kwa bei ghali ndio anaepigwa.
Na zipo machine nyingi tu used i3 gen ya 6/7 kwa around laki 4, simple google search utaziona.
Core i3 ama Ryzen 3 online as cheap as $250, plus usafiri unapata vizuri tu kwa laki 8, na hata hapa Tanzania if you look carefull unapata simple search i3 10100u ideapad 3 nimeiona capricon 900,000 na hao capricon wanauza vitu bei ghali. i3 ambazo kidogo bei zake zinakua juu ni gen ya 10 icelake na 11 tigerlake ila hizi zinazoishiwa na U kuanzia Gen ya 10 kushuka ukipigwa milioni imekula kwako hazina thamani hio.
Huyo jamaa mbishi sana2019 nilinunua lenovo 8th gen 1M, brand new.
Mkuu nilitengeneza ule uzi wa muongozo wa kuchagua processor sababu hii.Huyo jamaa mbishi sana
Afu ni wale watu ambao wanajifany wachambuz wa mtandaoni
Ukienda dukani ndiyo utajua bei ya laptip 7th g and above
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
| jina la cpu | single core perfomance | multi core perfomance |
| i5 7200u | 1766 | 3393 |
| i7 7500u | 1940 | 3668 |
| pentium 7505 | 2290 | 5281 |
| pentium 8505 | 2792 | 6670 |
ila mbona naona kama processor yake ni ndogo sana 1.8mhz au sjaelewa hapo kwenye speed?Hii ni Gen ya 8 mkuu, si chini ya laki 8
Hio ni base clock, turbo ni 4Ghz.ila mbona naona kama processor yake ni ndogo sana 1.8mhz au sjaelewa hapo kwenye speed?
Cheki insta wanaitwa Borntz eagle computerWanaitwaje mkuu
Njoo nikuuzie dell kwa laki 4, ina miezi miwili nilinunua laki 6...ina ram 8 core 5...Kwa bajeti ya shilingi laki 3 mpaka laki 4 ninaweza kupata laptop aina gani dukani?