Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,163
Kwa zao gani mkuu?Shinyanga elf 30 ndani huko mpaka 40, nipe dili mkuu
Mpunga boss.kwa zao gani mkuu?
Ni mpunga mkuuuShinyanga elf 30 ndani huko mpaka 40, nipe dili mkuu
Gunia la mchele mzuri mashineni kwasasa linasimama kwenye sh. ngapi hapo Shinyanga?Shinyanga elf 30 ndani huko mpaka 40, nipe dili mkuu
Bei gani junia?Biashara ya mpunga nzuri sana ndo ninayo ifanya hapa kyela...
Junia Bei gan boss! Wengne tunapenda kununua storeBiashara ya mpunga nzuri sana ndio ninayo ifanya hapa Kyela...
Bei gani junia?
Debe 10000Junia Bei gan boss! Wengne tunapenda kununua store
Unaibiwa,,uende shy debe 7000-8000100000 kwa debe 10
Unaibiwa,,uende shy debe 7000-8000
Husda..!!,mie namsaidia kujua cheap source ya mpunga,wewe unaita husda?.mwanaume hatakiwi kuwa hivi ungeandika tu shinyanga ni 7000 mambo ya kuibiwa yamekuajaje wakat yeye kataka mbeyaa hizo ni husda na hasada kwa mwanaume hainogi
Hili jibu zuri sana kwanza yy mazao hayajui mbunga ni mbegu kuna mbegu nyingine ni nyepesi mno kuna nyingene ni nzito afu pia azikatiki katikikatiki mashineni mpunga wa kyela uko vzr mno ndomana bei yao iko juu afu pia yy katika bei why aanze sema eti naibiwa inamaa Mbeya nzima uku Kyela wanaibiwa???Husda..!!,mie namsaidia kujua cheap source ya mpunga,wewe unaita husda?.
Nini maana ya kupashana taarifa kupeana bei toka sehemu tofauti tofauti sasa?,,neno umeibiwa ni kionjo tu,,
We mbona mzito sana kichwani asee?
Mkuu hivi debe Lina kilo ngapi?Debe 10000