Nipatie smartphone kwa laki 1.20

Chimemena

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,376
452
Wadau nina pesa tajwa hapo juu natamani sana smartphone aina ya Samsung au Sony Experia, wapi nitapata kwa hapo dar?
 
Karibu uchukue NOKIA 310. ipo katika hali nzuri na haina ubovu wowote. Ni smartphone nzuri na ina uwezo mzuri sana.
0768932789
0659528724
Karibu sana!
 
mkuu blackberry 9790 vipi itakufaa?
DSC_0035.JPG

Ipo poa kabisa na ina touch na keypad. Nicheki watsap 0787736765


DSC_0035.JPG DSC_0035.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom