Nipashe la leo 11 Aug 2015

Nipashe la leo 11 Aug 2015

Magehema

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Posts
428
Reaction score
28
Je, na wewe ni mmoja wa wasomaji wa gazeti la Nipashe? Umegundua kwamba gazeti la leo halina ukurasa wa saba ambao unaelezea habari za Edo kiundani. Nimejaribu magazeti zaidi ya mawili katika vibanda tofauti vya kuuzia magazeti nikakuta kurasa hizo za ndani zinamiss.

Je, ni makusudi au bahati mbaya?
 
Angalia magazeti mengine kama mwananchi nipashe ni ccm watupu
 
Hii ni sheeeda mara clouds hawasomi magazeti fulani, mara magazeti ya uhuru, mara nipashe wamenyofoa kurasa
 
Kumbe hujawazoea tu!!! Ukiona mtu anayeweza kuvua nguo kwny haraiki halafu halafu unamwambia anasema yuko ok..jua kasoro alonayo ni kubwa mno
Angalia humu JF kuanzia mwexi wa saba kabla ya fisad kukatwa rud nyuma comments zooote walivyokuwa wanamponda kila mtu humu..Team Lowasa walikuwa kama ndege john humu LAKINI LEO watu walewale kwa nia ileile na mtazamo uleule ndo wako mbele kula matapishi yao
Watu wa aina hiyo ukishawatambua wala usilumbane nao maana wako tayar hata kusrma hawajazaliwa na mwanamke ili kuhalalisha madai yao..nyamaza tu ndg yngu
 
Back
Top Bottom