Mchuja Nafaka G
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 763
- 253
Hi,
Iam a mother of 2kids, usiku mmoja mtoto wetu mchanga alilia sana 4 2hrs, ajabu babae kaangalia 2, nikamuuliza kwanini hana huruma kiasi hicho? Mwanae analia hajali anamaanisha nini? hadi mtoto mkubwa(3yrs) aliamka, alinyanyuka kitandani, akaninyakua mtoto akamweka kitandani kisha akanizaba makofi nikaweweseka, nakulia sana, kwahasira nikamwambia naweza nikakuachia mtoto kitandani nikalale sebuleni.
Akaniambia ondoka uone kama sitaweza, roho iliniuma maana mtoto anahitaji msaada yeye analeta ugomvi, tukajibishana usiku huo, sasa ni 2weeks hakuna mawasiliano, nimemwomba anisamehe uenda mi ndio mkosaji, kaniambia tuendelee kulea tu watoto ila mahusiano yetu basi, nikishindwa niondoke.
Sio mlevi nimkorofi, mbinafsi nambishi, kibaya zaidi watoto nahudumia mwenyewe 90% yeye anahudumia nduguze tu, nikilalamika anadai nawachukia nduguze, nifanyeje? Nishamshitakia sana kwa Wakwe kwamambo mengi hadi naona nawakera siishi kumlalamikia kijana wao, Wakwe wanashauri nimvumilie tu eti nimkorofi, je nikae tu kama house keeper?
Ndorooobo wewe! Una mume wewe au unapepeta mdomo just to tujue upo ndoa ni BIG SECRET utambue hilo na pia ujue hapo ni one side unaanza judgemental zako! Kibao kimoja ndicho kimfanye aache ndoa yake! Ebu komaa mama ndoa inahitaji uvumilivu sana!
Unanisoma kwa kuogopa tu. Jaribu kunisoma taratibu utaelewa kuwa uwepo wangu wote hapa JF ni kutoa darsa.
Tatizo ni pale nnapojisahau na kuwapa darsa la juu wale ambao kiwango chao ni kiduchu.
Pale ambapo unaona hujanielewa jaribu kuniuliza ni nini hujakielewa na mimi ntakupa darsa kwa kiwango chako.
NDOROBO NI WEWE JANAUME USIYEKUWA NA HAYA. EBU JIANGALIE JUUU HADI CHINI UNIAMBIE NINI KINAKUPA CONFIDENCE YA KUTETE MTU MZIMA MWENZAKO KUPIGWA.
hapo mleta mada alipaswa KUTOA BAO MOJA TAKATIFU kwa huyo mume Ili aweke STATEMENT SIKU HIYOHIYO kwamba OOOOLE WAAAKO WE MWANAUME...OOOLE WAKO...TENA ACHUKUE NA KISU JIKONI ACHORE CHINI.
kwa hayo maneno "kibao kimoja ndo uvunje ndoa" unataka kuingiza vielement vya physical abuse kwenye mahusiano ya watu. ndorobo wewe kalipige likeo lilizoea kupigwa. na ulipige kwelikweli manake limezidi upumbavu.
Hi,
Iam a mother of 2kids, usiku mmoja mtoto wetu mchanga alilia sana 4 2hrs, ajabu babae kaangalia 2, nikamuuliza kwanini hana huruma kiasi hicho? Mwanae analia hajali anamaanisha nini? hadi mtoto mkubwa(3yrs) aliamka, alinyanyuka kitandani, akaninyakua mtoto akamweka kitandani kisha akanizaba makofi nikaweweseka, nakulia sana, kwahasira nikamwambia naweza nikakuachia mtoto kitandani nikalale sebuleni.
Akaniambia ondoka uone kama sitaweza, roho iliniuma maana mtoto anahitaji msaada yeye analeta ugomvi, tukajibishana usiku huo, sasa ni 2weeks hakuna mawasiliano, nimemwomba anisamehe uenda mi ndio mkosaji, kaniambia tuendelee kulea tu watoto ila mahusiano yetu basi, nikishindwa niondoke.
Sio mlevi nimkorofi, mbinafsi nambishi, kibaya zaidi watoto nahudumia mwenyewe 90% yeye anahudumia nduguze tu, nikilalamika anadai nawachukia nduguze, nifanyeje? Nishamshitakia sana kwa Wakwe kwamambo mengi hadi naona nawakera siishi kumlalamikia kijana wao, Wakwe wanashauri nimvumilie tu eti nimkorofi, je nikae tu kama house keeper?
We kweli housegirl...! Kiufupi akili yako inakutosha mwenyewe bila shaka huna ata hiyo NDOA kazi kusikiliza stori za jf na vijieweni na umbea unadhani is all what married mean....! Kiufupi maelezo yako yanajitosheleza kukudadafua who is you afu istoshe wewe ni sawa na mtoa mada ebu kwanza MUMALIZEENI BALEHE ZENU ndiyo tunaweza elewana muulize huyo MTOA MADA KAMA ATAKUWA NA GUBU KITENDO CHA KUMROPOKEA MUME ETI MTOTO ANALIA MUDA WOTE HUONI HAPO HAPO ANAJITAPA KUWATUNZA WATOTO KWA ASILIMIA 90% mtakuwa mliwahi kuvunja ungo nyie kabla ya wakati wenu.
kwa hiyo jamaa alivyompiga kibao ndo njia sahihi ya kumjibu mkewe, yeye alishindwa nini kumjibu vizuri, au anaetakiwa kumheshimu mwenzie ni mwanmke tuu, ubinafsi tuu unyanyasaji tuu hivi mkisema unampenda mkeo huwa mnamanisha nini hasa, mtoa mada hapo usiondeke kama anataka aondoke yeye, si amesema mwenyewe mapenzi yalishaisha mnalea watoto tu, weee lea wanao tu, mfanye humo ndani kama kama hayupo, ama na chumba kabisa ajue tunaishi kwa ajili ya watoto tu, nguo ajifulie, ajipike chakula chake ajisafishie na chumba chake, hela ya matumizi ya watoto nenda ustawi wa jamii atoe kwa nguvu. HUWA NASHANGAAAA SANA WANAUME KINACHOWAPA KIBURI NI NINI HASAAAAAAAA
usiombe talaka...
what you need is TO GROW UP........
We kweli housegirl...! Kiufupi akili yako inakutosha mwenyewe bila shaka huna ata hiyo NDOA kazi kusikiliza stori za jf na vijieweni na umbea unadhani is all what married mean....! Kiufupi maelezo yako yanajitosheleza kukudadafua who is you afu istoshe wewe ni sawa na mtoa mada ebu kwanza MUMALIZEENI BALEHE ZENU ndiyo tunaweza elewana muulize huyo MTOA MADA KAMA ATAKUWA NA GUBU KITENDO CHA KUMROPOKEA MUME ETI MTOTO ANALIA MUDA WOTE HUONI HAPO HAPO ANAJITAPA KUWATUNZA WATOTO KWA ASILIMIA 90% mtakuwa mliwahi kuvunja ungo nyie kabla ya wakati wenu.
Tatizo kubwa nilionalo hapo ni unyumba. Kama hakupi ni tatizo kubwa sana na unaweza kudai talaka.
Akikupa ipasavyo hata talaka utaisahau na makofi utayaonea raha.
Fanyia kazi hilo kwanza kama mwanamke.
eti maelezo yanatosha kunidadavua nilivyo. na huo "uzee" ulionao ulipaswa kujua hii cyberworld. humjui yeyote humu na wala hakuna maandishi yanayoweza kukupa taswira yoyote ya nilivyo. usikute kila ninachoandika huku duniani nafanya opposite. hujui kuna vichaa humu??
wewe mwenyewe sioni hekima YOYOTE kwenye maeno yako zaidi ya kubwabwaja bila kutoa solution.
mleta mada hajasema alimkaripia huyo mume na yeye kusema anatunza watoto 90% sio Kujitapa bali ndo ukweli. Kalale ukue. kwanza huna hela nyamaza.
Whether nina ndoa (whatever that means) au sina, haimpi haki mwanaume kumpiga mkewe na kutotoa hela ya kumtunza mtoto. na hilo litaendelea kupingwa na polisi mtapelekwa wengi kweli.
Siyo hivyo mdada hapa mnasikia one side ukilaum utakuwa unafanya makosa ukimsikiliza vizuri mtoa mada utajua kuna kitu hapa mahusiano yao hayako vizuri sababu ya mambo fulani hayako sawa shida wenda ikawa kwa wote wawili ila sasa km mwanamke ameamua kuvunja ukimya good approach lazima iwepo mda wote wanaume tunataka heshima yaani dignity hiyo ni by born ata kwa wanyama wa kiume so ukikurupuka akahisi km ni dharau lazima utashambuliwa ata kwa kipigo ingawa badae huwa tunajutia kuwapiga nyie wake zetu maana tuna wapenda sana....! Love u..
Nani aliyekuambia dignity inatafutwa kwa kumpiga wife?
Nadharau sana wanaume wanaowapiga wake zao, inamaana mkeo amegeuka kuwa mtoto wako ama?
Nguchiiiro....! Unanijua mburula wewe???? Yaani mwanamke ujibu jeuri kisa unajua kuna polisi utanitambua that day! Hujui ulitendalo..