Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,249
- 3,070
Ukweli gani aelezwe mm nimeoa nina 26 Yrs sina nyumba wala kiwanja. Mbona mpaka leo niko nae. kuoa tu riziki inafunguka hapo bado mtoto ndo usiseme tena chap. Ni jambo la kuamua tuu ukisema usioe mpaka ujenge sio sawa ni maamuzi tuu.Kwa nini mnapenda kudanganya vijana wadogo badala ya kuwaeleza ukweli?
Amina mkuuUkipata mtu mnaoendana pamoja, mnaweza kujenga pamoja. Ila usali sana ili umpate mtu wa namna hiyo. Mchakarikaji kama wewe.
Yaan ukimaanisha mwamba ama?Sasa kiwanja chenyewe kisiwe kerege itakuwa ni mtihani mwingine, labda useme wazi kiwanja kipo wapi upate ushauri mtambuka.
dronedrake njoo upate shuhuda waliofunguliwa riziki na wanawake huku.😄😄Ukweli gani aelezwe mm nimeoa nina 26 Yrs sina nyumba wala kiwanja. Mbona mpaka leo niko nae. kuoa tu riziki inafunguka hapo bado mtoto ndo usiseme tena chap. Ni jambo la kuamua tuu ukisema usioe mpaka ujenge sio sawa ni maamuzi tuu.
🤣 😬 siyo mbaya ujue kujipa moyodronedrake njoo upate shuhuda waliofunguliwa riziki na wanawake huku.😄😄
Jenga kwanza kijana ukioa halafu ukioa mkija kuachana atataka mgawane mali maana kisheria itasomeka kuwa ulijenga ukiwa nae hivyo mtagawana nusu kwa nusu ila ukijenga baadae ukaja kutafuta mtu inakua hata mkiachana hapati chochote maana alikukuta na nyumbaWapendwa Habari za wakati huu!!
MUNGU ni mwema anazidi kutupigania siku zote.
Sifa na utukufu vimrudie yeye
Kuna kitu naomba ushauri wenu wapendwa katika hili, nipo na umri miaka 27 sijaoa na wala sina mchumba nipo nimepanga ,, MUNGU kanisaidia katika kupambana katika kazi huku na kule nimefanikiwa kupata kiwanja japo ni kidogo lakini cha kuanzia maish.
Niliwaza saana kuhusu kodi ninazo mpa mwenye nyumba nikapata uchungu hapa namfaidisha mwenye nyumba japo naishi kwake,,Basi ndo hivyo MUNGU akanijalia kwa mapenzi yake.
MSAADA:
Nimewaza na kuwazua kati ya haya mawili lipi litangulie,,japo sina kipato kikubwa saaana cha kusema naweza kufanya kati ya kimoja wapo kwa mkupuo hapana bali ni kujichanga taratibu maaana ni mimi kama mimi najitagemea.
Na mnavyojua ujenzi ni taratibu na hasa kama kipato ni cha kuunga
Je, wakuu niendelee kupambana tu ili nijenge hata chumba kimoja cha kuanzia ama nioe kabla sijajenga?
Ushauri wenu wakuu ili nifanye maamuzi sahihi kwanza.
MUNGU awabariki!
Pamoja saaana mkuuJenga kwanza kijana ukioa halafu ukioa mkija kuachana atataka mgawane mali maana kisheria itasomeka kuwa ulijenga ukiwa nae hivyo mtagawana nusu kwa nusu ila ukijenga baadae ukaja kutafuta mtu inakua hata mkiachana hapati chochote maana alikukuta na nyumba
Ni chakawaida tu viwanja vyetu vya Rock City vingne vipo juu ya milimaSasa kiwanja chenyewe kisiwe kerege itakuwa ni mtihani mwingine, labda useme wazi kiwanja kipo wapi upate ushauri mtambuka.
Bado najichanga mkuu!!Kama unapesa ambayo hairusu kujenga nyumba we owa tu, kama una demu mzuri unamfukizia wahi mahali, chelewa chelewa utakuta mwana si wako
We fanya mpango owa tu, hzo mambo ya kujenga yatakuja baadae
Ngoja niangalie za kuambiwa changanya na zakoWe fanya mpango owa tu, hzo mambo ya kujenga yatakuja baadae
Yah, sure unaweza pata ideas.nying za watu
Oa kwanza ndugu, Ili na ww uwe sawa na sisi kwenye hizi vurugumechi kama Alshabab tulizojitakia