musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 588
- 905
Ulipigwa si ungeacha hiyo kazi!Wasalaam
Kutokana na kuaminiwa kwenye maisha ya watu wakati mwingine kada hizi mmekuwa wapumbavu narudia tena wapumbavu
Mwalimu na polisi wengi wenu sio wote...huwa ni wajuaji kuliko...mnapata wehu wa kisaikolojia...polisi au mwalimu,anaweza kumbishia fundi gari...Fundi nyumba ...daktari masikini na hali hajui chochote kati ya hayo...nilishuhudia ukuta wa nyumba ukianguka baada ya kujengwa hovyo kisa...polisi alimuamuru fundi kujenga anavyotaka sio kuzingatia kanuni za fundi
Sasa hii tabia yenu ya kupiga piga watu kama mnapiga mahindi...unampiga mtu kama umemfumania na mkeo ...itaendelea kuwadharaulisha na kuonekana uelewa wenu ni wa chini msiojitambua na zaidi kubeba laana
Unapata mshahara fuata kanuni na taratibu za kazi uwe na mwisho mwema
Hii ni kweli kabisa. Ati mwl anashindwa kumuamini mzazi kuhusu suala la mtoto wanaishia kutofautiana. Sasa najiuliza hawa wote si ni walezi?. Hata kama mzazi yuko upande wa mtoto akiharibika ni mzigo ni wa nani?. Baadhi ya Walimu ni wajinga, mazumbukuku wakubwa.Imefika Stage mwl anamchapa mzazi
🤣🤣🤣Imefika Stage mwl anamchapa mzazi
Wapumbavu sanaUnakuta Polisi mmoja anakusubir kwa hamu kwa kusema hivi😅
Kabisa ...huwa najiuliza hivi madaktari wangekua hivi ingekuwaje...mbona madaktari wako humblepolice na waalimu ndio wanaharibu hii nchi, wajinga sana
Hii ni kweli kabisa. Ati mwl anashindwa kumuamini mzazi kuhusu suala la mtoto wanaishia kutofautiana. Sasa najiuliza hawa wote si ni walezi?. Hata kama mzazi yuko upande wa mtoto akiharibika ni mzigo ni wa nani?. Baadhi ya Walimu ni wajinga, mazumbukuku wakubwa.
Kazi kweli kweliWazungu wametuzidi mwl anatumia psychology kumuelewesha mtu
Huku tuko primitive Mwanafunz anaagizwa mafimbo mengi na makuni alf wenzetu wanaenda na vitabu na vilaptop
Mtoto akiharibika ni janga kwa TAIFA na mtoto akiwa bora ni faida kwa JAMII. Chukulia mfano mtaani kwako, omba omba, wezi, vibaka, wala unga n.k ni huleta madhara kwa nani kama sio taifa zima?Hii ni kweli kabisa. Ati mwl anashindwa kumuamini mzazi kuhusu suala la mtoto wanaishia kutofautiana. Sasa najiuliza hawa wote si ni walezi?. Hata kama mzazi yuko upande wa mtoto akiharibika ni mzigo ni wa nani?. Baadhi ya Walimu ni wajinga, mazumbukuku wakubwa.
Kulea mtoto hadi awe na maadili mema si lazima apigwe hadi achakae.Akili zaidi Inatakiwa kutumia.Hasira za walimu zikiishia kwa kuwapiga watoto ndiyo njia ya kuelekea gerezani/hukumu ya kifo.Mtoto akiharibika ni janga kwa TAIFA na mtoto akiwa bora ni faida kwa JAMII. Chukulia mfano mtaani kwako, omba omba, wezi, vibaka, wala unga n.k ni huleta madhara kwa nani kama sio taifa zima?
Haya piga mpaka uue ndio ujue. Sijakaza adhabu Ila kuna adhabu mtu anatoa kama akili azimo. Hiyo ya uharibifu wa akili ipo na chanzo chake sio tu ukosefu wa nidhamu ni Mambo mengi yanachangia.Mtoto akiharibika ni janga kwa TAIFA na mtoto akiwa bora ni faida kwa JAMII. Chukulia mfano mtaani kwako, omba omba, wezi, vibaka, wala unga n.k ni huleta madhara kwa nani kama sio taifa zima?
Sahihi lakini vipi pale tunashindwa kupiga mstari mwembamba kati ya adhabu na kudhuru kama sio kudhalilisha utu wa mtu kiasi cha kusababisha vilema au mauti kabisa?Siungi mkono wala kupinga adhabu ya fimbo. Binafsi nilichapwa sana shuleni na kwa kiasi fulani ilisaidia kunifanya hivi nilivyo leo. Katika ukuaji wa mtoto kuna umri akifikia inabidi itumike nguvu kubwa sana ya kuthibiti mabadiliko yake ya tabia, umri wa balehe. Kudekeza kukizidi kuna madhara na kutesa kukizidi pia kuna madhara.