ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
nunua koppo oppo
ram 6gb
storage 64gb
Nunua Xiaomi Redmi Note 7 mkuu.. hautajutia pesa yako
Samsung A series naona zimetapakaa sikuhizi kuliko ata J.
Natumia infinix S4 ina ram 3gb, storage 32gb, camera ipo safi, nataka kununua simu iwe inazidi sifa hii yangu, nina bajeti ya 400000,au kama kuna mtu anataka exchange sawa ila awe na simu juu hii ntamuongeza na pesa, isiwe iphone,
Nipo dodoma mjini,
Contact:0683357425View attachment 1178170
Ni kivuli cha hiyo simu aliyotumia kuipiga picha simu yake!Mbona kama nyeusi hapo chini ina shida gani
Hizi si ndo zimefungiwa kutumia Google?ONGEZEA HELA KIDOGO NUNUA HUAWEI P30 PRO
Zimekuja na Os mpya. HutajutiaHizi si ndo zimefungiwa kutumia Google?
Walisha solve wali sign makubaliano upya Na Google, kwa iyo zitaendelea kutumia AndroidHizi si ndo zimefungiwa kutumia Google?
Mimi nipo Tanga nikupe huawei y9 2019 uniongeze na elf 50 yaani hiyo laki 450Natumia infinix S4 ina ram 3gb, storage 32gb, camera ipo safi, nataka kununua simu iwe inazidi sifa hii yangu, nina bajeti ya 400000,au kama kuna mtu anataka exchange sawa ila awe na simu juu hii ntamuongeza na pesa, isiwe iphone,
Nipo dodoma mjini,
Contact:0683357425View attachment 1178170
Hizi simu zinauzwa wapi ? Naomba malelekzo huwa naona zisifia humu lakini sijui maduka yakeNunua Xiaomi Redmi Note 7 mkuu.. hautajutia pesa yako