kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 139
- 243
inauzwa 18,000?Nunua AC tripple inverter btu 18k bei ni ndogo nikama 2.6 mil
sawa mkuu, maana kuna hii hapa chini, jamaa anauza 1Nunua feni Tu mkuu, hapo hakuna AC ya kukufaa...vi portable AC havina kitu, vinaharibika mapema kuliko kawaida, kama ni AC Bora ujivute kidogo Hadi kwenye laki sita ununue 12BTHU, kigeto geto ndo utafurahi coz Kwa vyumba vidogo Tu vya kisela unapeta, unaweza usielewe ninachosema lakini Bora ununue feni for the long run.
zile za laki 8 ndo zinakula umemeHivi wadau eti ni kweli AC ukifunga , ukiiwasha kwa siku inakula umeme wa 10k ? au majamaa walinipanga 🤣🤣
Hao walikudanganya vibaya mno, hata uwe na bthu 24 haiwezi Kula elfu kumi Kwa siku, never...maybe uwe na vitu vingine vinavyokula umeme.Hivi wadau eti ni kweli AC ukifunga , ukiiwasha kwa siku inakula umeme wa 10k ? au majamaa walinipanga 🤣🤣
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kutafuta hela🤣🤣Hivi wadau eti ni kweli AC ukifunga , ukiiwasha kwa siku inakula umeme wa 10k ? au majamaa walinipanga 🤣🤣
Hilo ni Tatizo la nchi nzima hasa Kipindi hiki, matumizi ni makubwa na transfoma zetu ni zile zile...ww Una feni Una afadhali kidogo linazima then linawaka, sasa mtu ana AC nyumba nzima na Hana feni hapo ndipo tunapofufua majenereta yetu.Hivi ni kwamba Dar joto limezidi sana mpaka feni zinazidiwa nguvu? Feni yangu imezima ghafla haiwaki tena bila sababu na hili joto basi shughuli ipo
ndiyo mkuu. namaanisha AirCooler (AC)Au anamaanisha Air Cooler?
Ni kweli walikupanga mkuu.Hivi wadau eti ni kweli AC ukifunga , ukiiwasha kwa siku inakula umeme wa 10k ? au majamaa walinipanga 🤣🤣
Hasa mkuu unataka kuwa comfortable alafu unawaza 10k kwa siku.Fanya kama umehonga savana mbili.Hivi wadau eti ni kweli AC ukifunga , ukiiwasha kwa siku inakula umeme wa 10k ? au majamaa walinipanga 🤣🤣
Mkuu kwahio unamshauri anunue AC kwa 2.6m aifunge kwenye chumba kimoja alichopanga?Nunua AC tripple inverter btu 18k bei ni ndogo nikama 2.6 mil
Mkuu nunua fan tu. Muda wa AC ukifika utanunua bila kuuliza hapa JF.Wakuu nina budget ya 150000, baada ya feni yangu niliyokuwa natumia kuharibika, nikapata idea ya mini A.C.
kuna baadhi ya A.C naona zinauzwa, yaani zile A.C ndogo za kusimama.
Naomba mtu yeyote anayeitumia aniambie kama kweli inafaa. je, inaweza kumudu hili joto la Dar, au ninunue tu feni kubwa ya 150K?
Nimepanga single room.
naomba mwenye uwelewa wake anisaidie
ajabu kabisa yaani si bora hiyo million 2.6 akajenge vyumba viwili simple awe na kwake.! sema hao ndio wale wananunua iphone ya million 3 alafu bado anakaa kwa wazazi au kapanga kigheto chake uswahilini..mtoa mada ana bajeti 150,000 alafu eti analetewa pigo za million 2.6.! kwenye chumba kimoja cha kupanga.!Mkuu kwahio unamshauri anunue AC kwa 2.6m aifunge kwenye chumba kimoja alichopanga?