Nini wanawake wanataka

Mapenzi ni two way traffic,nipe nikupe!!Jambo la kuliweka akilini ni kwamba mwanamke ana hisia zaidi kuliko mwanaume kwahio ni vyema akihakikishiwa hilo!!!

naomba ufafanuz kidogo hapo,ILI NIPANUA UWELEWA
 
Mwanamke haitaji kitu chochote zaidi ya kuhakikishiwa kupendwa...kama mwanume ukijua hivyo, basi kuuteka moyo wa mwanamke si jambo gumu.
watu8 kupenda tunawapenda sana kama ulivyo tanabisha.
Tatizo kwa hawa ndugu zetu lipo katika CARE. Ukiwapenda bila kucare awakuelewi. Kama ujuavyo ku CARE inaitaji uchumi mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Haaaa pesa pesa pesa pesa pesa kwanza.....money talks...wanawake tunataka pesa hivyo vingine mbwembwe tu
 
Love is not a monologue but a dialogue,a harmonious dialogue~osho
therefore if you want to b lo ved u should love too.
 
Unaweza kuwapenda sana lakini ww hujipendi.Maana wahenga walisema "uwe makini pale mtu aliye uchi akikupa shati".
 
Love is beyond emotional appeal and its good sense.This begins with "self awareness" then you love or be loved freely.
 
Tatizo kwa hawa ndugu zetu lipo katika CARE. Ukiwapenda bila kucare awakuelewi. Kama ujuavyo ku CARE inaitaji uchumi mzuri.

Ndugu yangu ukiendelea kuwa na dhana hiyo...mapenzi kwako yatakutatiza sana.
Mwanamke mwenye uhitaji wa kupenda huwa hajali sana material love...ukiona mwanamke mwenye kujali sana habari ya mali au pesa, huyo hana tofauti na fisi muwinda mikono ya watu.
 
naomba ufafanuz kidogo hapo,ILI NIPANUA UWELEWA
Watu wengi wanasema mwanaume anaweza kupenda bila hisia kitu ambacho ni tofauti kwa mwanamke,Mwanamke yupo more emotional and intimate anapenda kuonesha anajaliwa,anapendwa na anathaminiwa!!Kwa mtazamo wangu mapenzi zaidi ya kusema nakupenda,ni lazima uoneshe kama unampenda mtu na hivo vinaonekana kutokana na jinsi gani unavyomjali,unavyomthamini na kumpa kipaumbele mtu!
 
Hawa wa xku iz lazma uwe mguu m1 ndan mwngne nje...ukiingia kichwa kichwa utataman uhamie sayad nyngne ambayo haina wanawake....
 
No woman No cry!! No money, No Honey!! we jifanye unampenda alafu aje mwenzako mwenye wekundu wengi, anamchukua faster!!
 

^^
Mmm!!
^^
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…