Dododa ni capital city so lazima maisha yawe juu kuliko sehemu nyingine
Niko Runzewe,Kahamawewe unaishi mji gani kwa sasa?
Kama ni hivyo buswe mbona karibu nchi yote ya tanzania ni hivyo iweje baadhi ya maeneo tu na raia wengine je?Bei ya chakula inakuwa juu, Kodi za nyumba juu, nauli za mabasi juu, ada za shule juu kulika kipato cha wakaazi wa mkoa husika.
Dododa ni capital city so lazima maisha yawe juu kuliko sehemu nyingine
wadau naomba kuelimishwa pale ninaposikia gharama za maisha kuwa juu hasa dodoma,maana nataka kulinganisha na sehemu nyingine ya jamhuri yetu.Maana ukianza na Arusha watu wanasema ule mji ni balaa,sasa sielewi wanaangalia vitu gani,tafadhali ni kuelimishwa tu na sio mashambulizi.
Bei ya chakula inakuwa juu, Kodi za nyumba juu, nauli za mabasi juu, ada za shule juu kulika kipato cha wakaazi wa mkoa husika.