wadau naomba kuelimishwa pale ninaposikia gharama za maisha kuwa juu hasa dodoma,maana nataka kulinganisha na sehemu nyingine ya jamhuri yetu.Maana ukianza na Arusha watu wanasema ule mji ni balaa,sasa sielewi wanaangalia vitu gani,tafadhali ni kuelimishwa tu na sio mashambulizi.