Nini ufumbuzi wa tatizo la Oil kuchomwa pamoja na Mafuta?

Makobus

Senior Member
Jul 30, 2012
161
103
Hi wakuu,

Gari yangu inachoma engine oil pamoja na mafuta. Hii imepelekea oil kupungua kuwa inapungua kadri ninavyoendesha gari. Nini ufumbuzi wa tatizo hili?
 
Piston rings zimeisha, au engine block imetanuka kiasi cha oil ring kushindwa kuzuia oil kupanda kwenye piston inachomwa petrol/diesel na hewa pekee
 
Engine block inatanukaje kk.........? Au una maanisha Engine Sleeve....?
 
Piston rings zimeisha, au engine block imetanuka kiasi cha oil ring kushindwa kuzuia oil kupanda kwenye piston inachomwa petrol/diesel na hewa pekee
Nachelea sana kuamini kuwa piston rings zimeisha. Hii ni gari iliyonunuliwa Sept mwaka jana 2022, yard. Ilikuwa na km 70,000. Tangu hapo hadi sasa imeenda km 7,000 tu. Kwa umbali huu inaweza kumaliza rings kweli?
 
Unajua Kwamba kuna jinsi ya kurudisha Km nyuma.....?
Rings zinakufa kama Nozzles zinamwaga Diesel/Petrol nyng kwenye Chamber.
Pia angalia Valve seal nayo inachangia oil kuingia kwenye chamber
 
Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom