Nini tofauti ya Tablet na Ipad?

Shilewashile

Senior Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
121
Reaction score
48
Wadau naomba msaada tofauti wa Tables na IPad ili nijue ninunue kipi na faida zake.
 
Tablet ni chombo, iPad ni jina la kibiashara sawa na kusema gari na Toyota! Kwahiyo nunua vyote kwakuwa vitakuwa kimoja
 
Key difference: Basically, tablets are like a mini computer. They are able to perform most tasks that one uses a laptop for. As an iPad is a tablet, or rather a particular type of tablet. The iPad is essentially a table that is designed and marketed by Apple Inc., the company famous for its iPhones.
-
source: Difference between iPad and Tablet
 

Badala ya kusoma post nilikuwa naangalia avatar yako Watu
 
Last edited by a moderator:

Pamoja na kuangalia avatar. ... mpe maelezo yako maana hadi amekuja hapa...huko ulkompeleka hatapaweza
 
Last edited by a moderator:
Tablet ni aina ya computer ndogo ambazo maranyingi huwa na ukubwa wa nchi 7, 9, 12 na 14. Zinaweza fanya kazi inayofanywa na kompyuta ya kawaida. Unawezapata tablet za aina tofauti kama: Samsung, HP, dell, iPad na kadhalika. Mfumo wa uendeshaji yaani OS nazo hutofautiana kwani tablet nyingine hutumia android wakati iPad hutumia iOS. Mara nyingi watu huchanganya madamu ana tablet yeye anaiita iPad kitu ambacho si sahihi kwani iPad ni aina ya tablet inyotengenezwa na Apple tu. Unaweza kuchagua yeyote japo iPad ni nzuri na bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…