Msaaaaada tafadhari.
nimekuwa nikimsikiliza nape kwa makini , sijahi kubahatika kumuelewa , na pia shida hiyo hiyo nayopata kwa nape , pia nilikuwa naipata kwa Tabwe hiza . sasa naomba msaada hivi hawa jamaa wanatofauti yoyote ya utendaji, uropokaji. uwezo wa kufikiri na pengine hata ki elimu?
. nitafurahi ikiwa nitaelezwa .
Wasalaam
okey. ana bachelor ya nini?Tambwe hana Bachelor,Nape anayo
kwa maana kwamba wanatumiwa kuropoka ?wote mavuvuzela.
itabidi waanze mazoeziwote wana vitambi
Tambwe hana Bachelor,Nape anayo
Sijui kwa kweli,Nakumbuka kuona picha akiwa india masomoni,kule michuzi blogokey. ana bachelor ya nini?
mkuu yashakuwa hayo tena?alipata Degree kwa kupumuliwa kisogoni sio! upeo wake hauonesha kama aliqualify accademically!
alipata Degree kwa kupumuliwa kisogoni sio! upeo wake hauonesha kama aliqualify accademically!
sawa , yaani ukimsikiliza january makamba, mnyika yaani utapenda, wanauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na kamwe huwezi kutilia shaka taaluma zao. lakini ukimsikiliza huyu mshikaji ............................ kuna j2 moja nilikuwa mwanza nikamsikia akihutubia , ni aibu tupu aliongea vitu vya ajabu kabisa , namnukuu ( msipokuwa makini hawa wapinzani siku moja watawaambia inameni) sijui alimanisha niniSijui kwa kweli,Nakumbuka kuona picha akiwa india masomoni,kule michuzi blog
mkuu naona uko sahihi maneno yako yanaukweli kama mtu akitafakari
- nape mnafiki tambwe mjinga
- nape ana bachelor tambwe ana cheti
- nape vuvuzela tambwe kasuku
- nape ana sera feki tambwe mbabaishaji
- nape mamluki wa ccm tamwe kibaraka wa cuf
- nape ni mdau wa ccj tambwe mdau cuf.
- yote 9 lakini ukimsikiliza nape unaweza ukatapika km una akili timamu coz ana ushamba flani lkn tambwe aah ana kanafuu kwa mbali km wasira