Nini tofauti ya hatua za KISHERIA na hatua KALI ZA KISHERIA

Danken Mbombo

JF-Expert Member
May 30, 2015
651
339
Mara nyingi tunawasikia viongozi, mfano kamishna kova anasema watakao kamatwa watachukuliwa hatua KALI za kisheria. Kuna tofauti yoyote kati ya hizo ?hatua KALI za kisheria" na hatua za kisheria na ?
 
Mara nyingi tunawasikia viongozi, mfano kamishna kova anasema watakao kamatwa watachukuliwa hatua KALI za kisheria. Kuna tofauti yoyote kati ya hizo ?hatua KALI za kisheria" na hatua za kisheria na ?

Kuna makosa ya kujitakia na makosa ya bahati mbaya, HATUA KALI ni kwa wale wanaojua hili ni kosa lakini analifanya kwa makusudi, kutaka kujaribu atafanywa nini aka matajiri/wenye viburi. Hatua za kawaida ni kutokana na matukio ambayo hayajapangwa. Hayo maono yangu mkuu wenye kujua zaidi watuambie.
 
Back
Top Bottom