Wapo wanaoamini uwepo wa Mungu lakini pia wanaamini kuwa the Universe au Nature ina automation force yake. Kwa mfano wanaposema "the universe responds to our thoughts"...or "we attract what we think"...Mi naona hawataki kuhusisha kilakitu na Mungu. Kuna vitu vinaanzia kwa binadamu na mazingira yake mwenyewe kabla hajawa muumin wa dini fulani. Hata mimi naamini hivyo.Katika kupitia vitabu na machapisho tofauti nimekutana na vitu viwili ambavyo nashindwa kuelewa ni kitu kimoja au ni vitu viwili tofauti!.
Kuna kitu kinaitwa "The Universe" alafu kuna "God"
Kwanza kabisa niseme kwamba naamini uwepo wa Mungu (God). Na najua uwezo wake ni juu ya uwezo wangu na ndiye Muumba wa mbingu na dunia.
Sasa kuna vitabu hivi viwili The Secret na The Alchemist, kama umefanikiwa kuvipitia nimeona mara kadhaa nafasi ya Mungu ninaye mjua mara nyingi wanai-replace na "The Universe". Sasa nashindwa kuelewa The Universe ndiye Mungu au waandishi wa hivyo vitabu hawautambui uwepo wa Mungu??
Wewe si umesha sema unakubali uwepo wa Mungu? Sasa tueleze kwako wewe Mungu ni nani ili tuweze kukusaidia.Katika kupitia vitabu na machapisho tofauti nimekutana na vitu viwili ambavyo nashindwa kuelewa ni kitu kimoja au ni vitu viwili tofauti!.
Kuna kitu kinaitwa "The Universe" alafu kuna "God"
Kwanza kabisa niseme kwamba naamini uwepo wa Mungu (God). Na najua uwezo wake ni juu ya uwezo wangu na ndiye Muumba wa mbingu na dunia.
Sasa kuna vitabu hivi viwili The Secret na The Alchemist, kama umefanikiwa kuvipitia nimeona mara kadhaa nafasi ya Mungu ninaye mjua mara nyingi wanai-replace na "The Universe". Sasa nashindwa kuelewa The Universe ndiye Mungu au waandishi wa hivyo vitabu hawautambui uwepo wa Mungu??
Katika kupitia vitabu na machapisho tofauti nimekutana na vitu viwili ambavyo nashindwa kuelewa ni kitu kimoja au ni vitu viwili tofauti!.