sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Naomba kupata uelewa kuhusu hizi battery mbili za simu tofauti yaani 5000mAh na 6000mAh inamaanisha nini? Nataka simu inayotunza charge kuliko nyingine kati ya hizi itakuwa ni IPI na kwa nini?
Infinix hot 10T battery yake ni 5000mAh na infinix hot 10i battery yake ni 6000mAh
Nataka inayohifadhi charge muda zaidi hapo
Infinix hot 10T battery yake ni 5000mAh na infinix hot 10i battery yake ni 6000mAh
Nataka inayohifadhi charge muda zaidi hapo