Nini tofauti kati ya MPENZI na MKE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini tofauti kati ya MPENZI na MKE?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nzowa Godat, Jul 21, 2012.

 1. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hivi ni kwa nini siku hizi watu wengi hasa vijana wa kike na kiume wamekuwa na mazoea ya kuishi kama mke na mume ilhali hawajaoana? Mara nyingi kisingizio ni 'mpenzi' wangu. Utasikia kijana anajitapa, huyu ni mpenzi wangu nimezaa naye watoto wawili. Ninachofamu mimi wanaozaa watoto ni wanandoa baada ya kufanya tendo la ndoa. Zamani tendo la ngono lilikuwa linapatikana kwa shida sana baada ya kusaga kiatu sana ndio maana watu walikuwa wanaona ni heri aoe mke lakini siku hizi ni bwerere hata vijana hawaoni haja ya kuoa oh! samahani! siku hizi ni kuoana gender balance.
  Hivi taratibu za kidini hasa taratibu za kilokole zinakubaliana na wapenzi wa namna hii?
  Nawasilisha.
   
 2. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu naomba nijaribu tu kujibu hakun dini yeyote ama mila na desturi za kitamaduni zinazokubali watu kufanya ngono pasi kuwa wameoana. sikuhizi vijana na mambo ya wana saoikolojia ambao wamewalisha imani potofu kwamba mwili unapotikia vichocheo huwez kuudhibiti zaid ya kuufanyisha ngono ndio mana imekua ni kawaida.

  kwa wakatoliki hii huitwa uchumba sugu ingawa sasa uchumba huu sugu uko kama watakuwa ni wazazi na wanaish pamoja. naweza sema pia aina na taratibu za kufunga ndoa kwa hapa kwetu pia zinachangia sana kwenye hili, kiasi kwamba kijana /vijana wanaona tabu kuzifuata taratibu hizi hadi kufikia mwisho wakafunga ndoa.

  pia serikali kwa namna moja ama nyingine imechangia sana ama kwa kujua ama kwa kuto kujua. Anything in excess is harmful. Niko tayari kukosolewa lakin overspeaking of HIV AIDS imechangia sana. look at this yalitolewa majarida ambayo yakikuwa yanalenga kufundisha ila hawakuipa nafasi ya pili implication yake kwa wasomaji matokeo yake ni kuwasha tamaa za ngono wa vijana hasa waliopo mashuleni na vyuoni kiasi kwamba wasiweze kujizuia tena. Ukimwi uliongelewa kwa namna ambayo ili pelekea kila aliyeskia kupenda ama kutaka kujaribu filamu zake ote zilireveal kitu hicho hicho. mnake mwanzoni ilionekamna kama anaye act ana pata raha na vijana wanawehuka inapokuja ukimwi uko mwishoni ndio inakuwa mbaya.

  nihitimishe kwa kusema kwamba jamii kwa ujumla wake tumechangia sana katika hili hasa serikali na wazazi. siku hizi hata kipengele cha wt kuwa mabikra hakiangaliwi tena.
   
 3. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  principle yao heri kuanza mdogo mdogo kuliko kujidai mgumu halafu uwe fataki au mpenda wanawake wakati unafamilia. watu wanaamini kuna stage ambazo ukiziruka zitakuja kukuadhiri baadae

  watu hawaamini kuwa watadumu milele na gharana za harusi ni juu

  napinga!! elimu dhidi ya HIV/AIDS ni lazima na ukweli ni kwamba abstinence is not working!! wewe unaweza kubstain kutokana na imani or w/e lakini wengi wetu hawawezi, kutofundisha safe s.e.x kutawaumiza wengi, ideally kila mtu angeabstain na AIDS ingeisha baada ya miezi kadhaa lakini this is not the case in real life.

  jamii ikitaka mabikra iwahamasishe wavulana kujitunza sio kukazania wasichana tuu. kuna stereotype kwamba mwanaume ukitembea na wanawake wengi ndio unaitwa kidume na unapewsa sifa lol. wavulana hatuambiwi kabisa kujitunza na ukifika mf. F6 bila demu wengine wanaanza kukuzushia habari mbofu mbofu. unategemea hao mabikra wapatikane wapi!!
   
 4. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Shukrani kwa michango yenu wakuu.
   
 5. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  blaine n kurt kwenye black hivi wafikir kwamba mtu ukianza mapema ndio sababisho la kutulia? nafikiri kutuia kuko moyoni mwa mtu binafsi na uaminifu wake juu ya moyo wake.

  kwenye red binafsi sifagilii gharama kubwa za harusi na ukweli ni kwamba ndoa zilzizofungwa kwa sherehe kubwa za kukata na shuka ndizo zinzongoza kwa kuvunjika. to me kila mtu na mpez wanaweza kupanga aina ya ndoa wanayoitaka bila shida yeyote ile tena ika meet costs zao.

  kwenye green sipingi elimu ya ukimwi la hasha ila napinga curriculum liyotumika kufundishia ndio mbaya. manake ilipaswa iangalie outcomes kwanza lakn wao waliangalia inputs tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  manshiroo we ni mwalimu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  naomba nikuulize hivi Asprin wewe ni mwl? mbona umemuuliza mwenzio swali hili ama lilikuwa maalum kwa waalim tu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapana mimi siyo mwalimu, fani yangu ni environment toxicologist nimekosea kujibu?
   
 9. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  that is debatable but I won't go into it for now.
  wazazi wangapi watakubali ndoa bila harusi ya kukata kwa shoka, wengi wanataka kuonesha mwanao kaoa/olewa na ndio chanzo cha harusi za fahari.
  outcome ni kupunguza maambukizi na since se.x ndio #1 cause ya maambukizi kufundisha safe se.x ni uamuzi uliosensible. kama unataka curriclum nyingine basi wahakikishie wadau kuwa italeta mafanikio kama au zaidi ya hii iliyopo sasa
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hata wazee wakitaka harusi ya shoka na wewe hutaki, kutokana na uwezo au sababu nyengine kitu hicho hakiwezekani kufanyika bwana. Hakuna laana inayoshika ikiwa utakataa harusi ya sherehe.

  Maadili ya ndoa yamepotea hasa wanawake wenyewe kujiweka rahisi, wewe unaishi na mtu kwa miaka mnazalishana, sasa akuoe ili iweje maana ndoa haitasababisha kupata zaidi na unachompa sasa. Ndio maana ndoa wanaiona ni burden.

  Nyingine wazee wanachangia pia, eti mtoto kabeba mimba au kabebesha mtoto wa watu mimba mnaona kitu cha kawaida. Mimi ninavyojua kuwa wazee wazamani kitu hiki kikitokea wanasusia mahusiano hayo hakuna mzazi atakayekanyaga nyumba hio maana hawatambui uhalali wa mahusiano yao.
   
 11. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  labda nikutajie mapungufu ya existed curriculum.........ilikuwepo ili konyesha kwamba sex ni kitu cha lazima ka kijana jambo ambalo si kweli kabisa. siyo kitu cha lazima manake si chakula wala maji.
  ...........ili kuwepo kuonyesha kwamba mihemko ni irresistable kitu ambacho si kweli
  ...........ili kwuwepo kuchochea mihemko zaid kuliko kupunguza na ndio maana wanafunzi weng sana alikuwa wanapractice sex tena unsafe mfano mzuri ni idadi ya wanafunzi waliokuwa wanapata ujauzito
  .............ili kuwepo ili kuadress causes and effect an solution bila kungalia impact ya solution naa haikuwa na ToR zienye mashiko na ndio maana pia ilifeli hasa maeneo ya iringa huko ilula.
   
 12. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  MadameX ulichoongea ni point tupu. Yani mimi katika makuzi yangu nilikuwa najua hakuna aibu ambayo itakuwa kubwa kwa familia kama binti kuzaa bila ndoa...siku hizi wazazi hwana muda wa kuwafundisha watoto wao maadili.

  Those days hata mabinti ninaowafahamu waliojikuta wanazaa mtoto wa ujanani cha moto walikuwa wanakiona including hata kutimuliwa na wazazi ili wadogo zake wasione kuwa ni poa tu.

  Anyway lets wait and see..Labda hii fashion ni nzuri zaidi...time will tell

   
 13. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hayo ni maendeleo mzee mwenzangu. Hivi sasa hizi bidhaa unazosema (mwanamke na mwanamme) zimejaa kiasi ambacho watu hawataki kujitia katika masharti. Vijana sasa ni kujitembeza na kila mmoja anajuwa kuwa bidhaa zipo za kutosha hivyo haihitaji mkataba utakaomfunga asitafute bidhaa nyengine akiona ile imechujuka.
  Wazee nasi soko limetushinda kutokana na kuwa na bidhaa nyingi hivyo aidha tunawaachia vijana wetu watafute wanunuzi na pia hatuko tayari kuwaingilia vijana wetu katika harakati zao.Mwanao akitupa watoto nje ni shauri yake au akileta watoto nyumbani ni shauri yake mradi tu aweze kuwahudumia mwenyewe.
   
 14. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  watoto wanapobalehe wanapata hisia za ngo.no, hiki huwezi kuzuia. pia baadhi ya wazazi hawapendi kuongea na wanao kuhusu se.x hivyo watoto wanajifunza from peers, serikali imeona hii ndio maana imeleta se'x education.
  sijakupata hapo iringa, kulitokea nini?
   
 15. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sasa iko hivi despite elimu yote watu waliyokuwa wanapewa juu ya ngono ama elimu rika bado eneo la ilula iringa lilionoza wa kuwa na maambukizi mapya cha ajabu kabsa hadi gest kuliekwa kanda za kuonyesha madhara ya ngono but watu walizitumia kama mikanda ya sex ya kujifunzia stail za kungonoka so to me elimu hii haikuratibiwa ipasavyo tulikurupuka sana hatukuangalia maendeleo ya nchi yetu kijamii na kifedha na hata kiuchumi na kielimu.
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Concluded: manshiroo ni mwalimu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. peri

  peri JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tatizo UINIFU umezidi sana ck hizi, watu wanahamasishana na kusifiana kumkosea MWENYEZI MUNGU.
  Tunakoelekea kama taifa ni kubaya, maadili yamekwisha.
   
Loading...