General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Ninaposoma kazi za haya majeshi mawili ya marekani nashindwa kudadavua vizuri.
Marekanj ina majeshi makuu matano.
La kwanza ni Army jeshi la ardhini, marine jeshi la majini, Navy jeshi la wana maji, coast guard jeshi linalo thibiti kuingia na kutoka kwa vitu baharini na Air force jeshi la anga.
Sasa nikiangalia marine, navy na hata coast nashindwa kuelewa majukumu yao yanayo watofautisha.
Mwenye uelewa wa majeshi haya atudadavuliee.