Kwanza from experience Samsung Note 4 ni pasua kichwa kuanzia battery lifeKuna Samsung Note 4 nilimpa mtu ikiwa safi kabisa Ila baada ya muda akaniletea malalamiko kuwa inajizima baada ya muda fulani hivyo nikamuelekeza aende kwa fundi.
Kwa kifupi, alipotoka kwa Fundi aliambiwa sababu ya Simu kujizima ghafla ni kwamba Simu imepoteza faili (mafaili)lake ( hiki kitu sijawahi kukisikia kabisa).
Ningependa kufahamishwa kama ni kweli kuna tatizo kama hilo Kwenye Simu (kupoteza mafaili) na njia ya kulitatua.
Kama hakuna tatizo kama hilo , je lipi hasa linaweza kuwa tatizo linofanya simu kujizima ghafla maana hata ukiiwasha Simu charge ya simu inarudi katika asilimia zile zile na inafanya kazi vizuri tuu ?!.
Kuna Samsung Note 4 nilimpa mtu ikiwa safi kabisa Ila baada ya muda akaniletea malalamiko kuwa inajizima baada ya muda fulani hivyo nikamuelekeza aende kwa fundi.
Kwa kifupi, alipotoka kwa Fundi aliambiwa sababu ya Simu kujizima ghafla ni kwamba Simu imepoteza faili (mafaili)lake ( hiki kitu sijawahi kukisikia kabisa).
Ningependa kufahamishwa kama ni kweli kuna tatizo kama hilo Kwenye Simu (kupoteza mafaili) na njia ya kulitatua.
Kama hakuna tatizo kama hilo , je lipi hasa linaweza kuwa tatizo linofanya simu kujizima ghafla maana hata ukiiwasha Simu charge ya simu inarudi katika asilimia zile zile na inafanya kazi vizuri tuu ?!.
Nilikuwa nishaagizia note 4 duh ngoja nighairi nichukue A10
UKIKOSA SOLUTION NIUZIE KIOO MKUUSolution ?
Kwahyo nifanye nn mkuu ?
Download app play store inaitwa wake lock app alafu ukisha downloda fungua click kwenye partial wake lock haitafanya kujizima wala ku heat.Kwa uchunguzi niliofanya note 4 na note edge zina perfome vizuri bila tatizo lolote hata battery life nzuri kwenye android 4.4.2 au 4.4.4 ukisha update kwenda 5.0.1,5.1.1 au 6.0.1 ndo hayo matatizo yanaanza kwa hiyo hiyo yako kama unaweza ku downgrade kwenda android kitkat itakuwa poa sana. Ila kwa sasa downlod hiyo app ya wakelock app ipo play store hiyo shida hutaionaKuna Samsung Note 4 nilimpa mtu ikiwa safi kabisa Ila baada ya muda akaniletea malalamiko kuwa inajizima baada ya muda fulani hivyo nikamuelekeza aende kwa fundi.
Kwa kifupi, alipotoka kwa Fundi aliambiwa sababu ya Simu kujizima ghafla ni kwamba Simu imepoteza faili (mafaili)lake ( hiki kitu sijawahi kukisikia kabisa).
Ningependa kufahamishwa kama ni kweli kuna tatizo kama hilo Kwenye Simu (kupoteza mafaili) na njia ya kulitatua.
Kama hakuna tatizo kama hilo , je lipi hasa linaweza kuwa tatizo linofanya simu kujizima ghafla maana hata ukiiwasha Simu charge ya simu inarudi katika asilimia zile zile na inafanya kazi vizuri tuu ?!.
Download app play store inaitwa wake lock app alafu ukisha downloda fungua click kwenye partial wake lock haitafanya kujizima wala ku heat.Kwa uchunguzi niliofanya note 4 na note edge zina perfome vizuri bila tatizo lolote hata battery life nzuri kwenye android 4.4.2 au 4.4.4 ukisha update kwenda 5.0.1,5.1.1 au 6.0.1 ndo hayo matatizo yanaanza kwa hiyo hiyo yako kama unaweza ku downgrade kwenda android kitkat itakuwa poa sana. Ila kwa sasa downlod hiyo app ya wakelock app ipo play store hiyo shida hutaiona
Ingia YouTube how to downgrade galaxy note 4 kuna video nyingi chagua zinazo elezea kwenda android 4.4.4Poa Poa kaka...
Unawezaje kudowngrade ?