Mm nina miaka 19 na nusu hivi nina tamani sana niwe na mpenzi kuna madem ka 4 nimewaambia //NITAMKUBALI M1// lkn naambulia story tu wanasema ati wana watu wao nifanyeje ili nipate angalau m1
Rudi shule.
dah!...nawaza kama huyu ndiyo mwanangu!!
Hamna hg karibu? Huwa msaada kwa wengi.