Nini tathmini yako kuhusu ELIMU yetu

Danken Mbombo

JF-Expert Member
May 30, 2015
651
339
Kiwango cha elimu ya wakati upi kilikuwa au kiko juu kati wa hivi:

Elimu ya wakati wa mkoloni
Elimu baada ya uhuru wakati wa utawala wa awamu ya KWANZA
Elimu ya wakati wa utawala wa awamu ya PILI
Elimu ya wakati wa utawala wa awamu ya TATU
Elimu ya wakati wa utawala wa awamu ya NNE

TOA TATHMINI YAKO KWA UHALISIA NA SI USHABIKI WWA KISIASA
 
Back
Top Bottom