Nimeota jua kali limewaka usiku likatembea kwa haraka likaenda kugonga mwezi, kukatokea kishindo na giza flani.
Baada ya muda jua likabaki gizani lakini mwezi ukatoka ukiwa na rangi nyekundu. Najiuliza sana tafsiri ya ndoto hii, anejua anieleze tafadhali!