Nini tafsiri ya maneno haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini tafsiri ya maneno haya

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by fulagotolo, Aug 8, 2012.

 1. f

  fulagotolo New Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "The matter of an application for leave to apply for an order of certiorari"
   
 2. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Haya ni maombi ya ruhusa kwa mahakama ya juu kutoa tafsiri, kutatua utata, kutoa maamuzi au marekebisho baada ya kupitia maamuzi ya mamlaka za serikali.
   
 3. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  sina hakika kama ndivyo tafsiri halisi ya mada tajwa! kwanza certiorari ni prerogative order ya mahakama kwa administrative authorities na si kwa mahakama zilizo chini yake! kuna kitu kinaitwa judicial review, ni mamlaka ya mahakama hasa mahakama kuu kuangalia correctness, legality na propriety of a decision of an administrative authority na ndo inayotoa hiyo certiorari-kereview decision, mandamus-kuamrisha tendo la kiadministrative ifanyike, injunction-kuzuia jambo lisifanyike mathalan mgomo wa waalimu/madokta, habeas corpus-kuamrisha mtu aliekifungoni isivyo halali kuachiliwa, na kuna zingine zinaitwa ordinary orders za mahakama kama vile declaratory orders na vingine.
   
 4. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  yah asante kwa marekebisho kidogo hapo
   
Loading...