Nini tafsiri ya kushangiliwa kwa Lowassa msibani Arusha?

Yani katika viongozi na wageni wote waliokuwa pale uwanjani Ni lowassa Tu ndie watu walimshangilia na kumpigia makofi na baadhi ya watu waliokuwa nyuma ya uwanja kutaka kujua kulikoni watu wanapiga makofi na vigele vigele ndipo walipoambiwa Ni lowassa ameingia.
 
Yaani watu hata mambo ya misiba munaleta SIASA ,Rais ni John pombe Joseph Magufuli
 
Wanajukwa naomba kuwajulisha kuwa na hata kwa wale waliokuwa uwanjani waliona kabisa kwa wakati tofauti tofauti lowassa kushangiliwa,,
Baada ya viongozi wengine kuingoa uwanjani na baadae kufuata yeye, wananchi waliposikia Lowassa ndo anaingia kwa kwa sasa, uwanja ulifura kwa makofi na vigelegele,
Na Mara ya pili wakati wageni wote wakiwa tayari jukwa kuu, wakiwemo mawaziri na makamu WA Rais, na utambulisho ulianza rasmi kwa wageni Waliohudhuria pamoja na viongozi wote lakini ilipofika muda WA utambulisho kwa mh.Lowassa watu wote uwanjani walishangilia na kupiga makofi hadi pale MC Alipokatisha na kuendelea na utambulisho WA wageni wengine.na kimya kiendelea tena
Kuna watu washanunuliwa hapo
 
Lowassa the Don...Man of the people.....The one man army....The chosen one....The TZ King.....The whiter the hair the brighter the brain and the purer the soul....The blessed Edo....Edo the Chief....Historia inawahukumu na itaendelea kuwahukumu...
 
Sasa unashangaa nini. Lazima wamshangilie kwa sababu kachangia kuufifisha upinzani. Upinzani hauna meno sasa. Hoja za nguvu za ufisadi kazizika, futilia mbali kule. Wamebaki wapinzani suruari. Sasa unadhani kwanini wasicheke. ile sio kushangilia ni kucheka sanaa aliotumia mamvi kuua upinzani. N mshangao tu kwa ujumla
Hum kuna watu sijui wana malezi gan!sio utamadun wetu wa kuwa na maneno mabovu yasiyo na haya,in vema km huna la maaana la kuchangia ukapita,ujalazimishwa kuchangia,yanini ujipe dhambi za bure? Jaman tumuogope mungu.
 
Wanajukwa naomba kuwajulisha kuwa na hata kwa wale waliokuwa uwanjani waliona kabisa kwa wakati tofauti tofauti lowassa kushangiliwa,,
Baada ya viongozi wengine kuingoa uwanjani na baadae kufuata yeye, wananchi waliposikia Lowassa ndo anaingia kwa kwa sasa, uwanja ulifura kwa makofi na vigelegele,
Na Mara ya pili wakati wageni wote wakiwa tayari jukwa kuu, wakiwemo mawaziri na makamu WA Rais, na utambulisho ulianza rasmi kwa wageni Waliohudhuria pamoja na viongozi wote lakini ilipofika muda WA utambulisho kwa mh.Lowassa watu wote uwanjani walishangilia na kupiga makofi hadi pale MC Alipokatisha na kuendelea na utambulisho WA wageni wengine.na kimya kiendelea tena

Sasa wewe maana yako ya kuleta huu uzi hapa ni ipi hasa!? Ni kwamba na wewe ulishangilia au? Maana uwanjani tulienda kwa majonzi, sasa unaanza mambo ya kushangilia, so what!!!!!!!!!!!! Jaribu kuwaza mbali, utoto wako sometime ni mzigo...
 
Lowassa, kama sio uchakachuaji wa siri-kali hii na uzandiki basi ndiye angekuwa raisi wetu leo hii wala mambo aliyofanya Gambo dhidhi ya Lema usingeyasikia, yaani CCM sasa imekuwa janga la taifa na adui mkubwa kwa maendeleo ya nchi

Mwalimu aliwahi kutaja maadui watatu wa maendeleo ikiwemo ujinga na maradhi ila ila nisawa kabisa sasa wakiwa wanne na CCM ikiongezwa ndani ya hao
 
Wanajukwa naomba kuwajulisha kuwa na hata kwa wale waliokuwa uwanjani waliona kabisa kwa wakati tofauti tofauti lowassa kushangiliwa,,
Baada ya viongozi wengine kuingoa uwanjani na baadae kufuata yeye, wananchi waliposikia Lowassa ndo anaingia kwa kwa sasa, uwanja ulifura kwa makofi na vigelegele,
Na Mara ya pili wakati wageni wote wakiwa tayari jukwa kuu, wakiwemo mawaziri na makamu WA Rais, na utambulisho ulianza rasmi kwa wageni Waliohudhuria pamoja na viongozi wote lakini ilipofika muda WA utambulisho kwa mh.Lowassa watu wote uwanjani walishangilia na kupiga makofi hadi pale MC Alipokatisha na kuendelea na utambulisho WA wageni wengine.na kimya kiendelea tena
Level ya chini kabisa ya kufikiri!People are crying watu mnaleta siasa!?No wonder mkuu hakwenda kwa sababu kaambiwa kumejaa wavuta bangi wengi kuliko watu wenye uchungu!Poor you
 
Wanajukwa naomba kuwajulisha kuwa na hata kwa wale waliokuwa uwanjani waliona kabisa kwa wakati tofauti tofauti lowassa kushangiliwa,,
Baada ya viongozi wengine kuingoa uwanjani na baadae kufuata yeye, wananchi waliposikia Lowassa ndo anaingia kwa kwa sasa, uwanja ulifura kwa makofi na vigelegele,
Na Mara ya pili wakati wageni wote wakiwa tayari jukwa kuu, wakiwemo mawaziri na makamu WA Rais, na utambulisho ulianza rasmi kwa wageni Waliohudhuria pamoja na viongozi wote lakini ilipofika muda WA utambulisho kwa mh.Lowassa watu wote uwanjani walishangilia na kupiga makofi hadi pale MC Alipokatisha na kuendelea na utambulisho WA wageni wengine.na kimya kiendelea tena
usiumize kichwa, ni kama kipindi cha mchakato wa ndani wa ccm. Kuna viongozi wa dini wachungaji na mashehe walienda kumuomba achukue form. Lakini bdae ikaja julikana ni yy ndo aliwapanga na kuwaweesha waende kumuomba kutengeneza igizo. kwaiyo usiumize kichwa sana.
 
kipenzi cha watu..
walisema mgonjwa ila kwenye misiba huwa bega kwa bega na waombolezaji..
yule bondia mpiga push up misiba anaangaliaga kwenye tv kama episode..
kagera aliingia mitini..
msiba wa maaskari kaingia mitini..
msiba wa arusha mitini..
agh bondiaaaaaa..
 
Sasa unashangaa nini. Lazima wamshangilie kwa sababu kachangia kuufifisha upinzani. Upinzani hauna meno sasa. Hoja za nguvu za ufisadi kazizika, futilia mbali kule. Wamebaki wapinzani suruari. Sasa unadhani kwanini wasicheke. ile sio kushangilia ni kucheka sanaa aliotumia mamvi kuua upinzani. N mshangao tu kwa ujumla
Matatizo ya nchi hii kwa sasa sio ufisadi, Jaribu kusoma wakati uliopo, Ni sawa Unaongelea ukoloni alioupigania Nyerere Eti CCM imeacha kuongelea ukoloni na ujamaa Sasa, Ishu ni muda umebadilika, Kila kitu na wakati wake, Ndio maana wewe umeacha ziwa la Mama yako Ishu ni muda na nyakati, Jaribu kuangalia leo matatizo yetu ni yapi?
 
Back
Top Bottom