bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
Wanajukwaa,
Naomba kuwajulisha kuwa na hata kwa wale waliokuwa uwanjani waliona kabisa kwa wakati tofauti tofauti Lowassa kushangiliwa, baada ya viongozi wengine kuongea uwanjani na baadae kufuata yeye, wananchi waliposikia Lowassa ndo anaingia kwa kwa sasa, uwanja ulifura kwa makofi na vigelegele.
Na Mara ya pili wakati wageni wote wakiwa tayari jukwaa kuu, wakiwemo mawaziri na makamu wa Rais, na utambulisho ulianza rasmi kwa wageni waliohudhuria pamoja na viongozi wote lakini ilipofika muda wa utambulisho kwa mh. Lowassa lilivotajwa jina lake tu watu wote uwanjani walishangilia na kupiga makofi hadi pale MC alipokatisha na kuendelea na utambulisho wa wageni wengine na kimya kiendelea tena.