Nini tafsiri ya Clouds media kuanza kucheza tena nyimbo za Jide?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,533
Je, ni kwamba mmoja kati ya Kusaga na Ruge wanakaribia kuchukua uteuzi katika serikali ya JPM? Kwa hiyo wameamua kuacha bifu ili waonekane vijana wazuri wasiozuia vipaji vya watz kukua? Just anxious, any guess or know how!! Nyadikwa
 
Ulimsikiliza Ruge..?? umesikiliza maneno ya meneja wa Jide..?? Mahakamani Jide alishindwa. Na kutokupiga nyimbo zake ilikuwa ni baada ya Jide kukataza hilo. Baada ya kumalizana, akaruhusu nyimbo zake zipigwe na clouds. Hayo ya kugombea yako
 
Je, ni kwamba mmoja kati ya Kusaga na Ruge wanakaribia kuchukua uteuzi katika serikali ya JPM? Kwa hiyo wameamua kuacha bifu ili waonekane vijana wazuri wasiozuia vipaji vya watz kukua? Just anxious, any guess or know how!! Nyadikwa
Kwani walikuwa wanazuia vipaji vyetu visikue?
Hawa walikuwa wanakuibua halafu wanakupaisha ila ukienda kinyume ndio wanakusha.

Ukipandishwa kwa fedha basi utashushwa kwa Fedha.

Ila kwa jide wapige nyimbo zake au wasipige sioni kama Jide atapungukiwa kitu.
 
Kwa mawazo yako Jide wa zamani ni yuleyule wa sasa kimuziki??watu tushamsahau kabisa...usiongee ilimradi tu umetia comment...Clouds ana mkono mkubwa katika muziki wa bongo...Jide alikuwaga anapata promo sana Clouds..baada ya ugomvi wao mtu alipotea hapo
 
Je, ni kwamba mmoja kati ya Kusaga na Ruge wanakaribia kuchukua uteuzi katika serikali ya JPM? Kwa hiyo wameamua kuacha bifu ili waonekane vijana wazuri wasiozuia vipaji vya watz kukua? Just anxious, any guess or know how!! Nyadikwa
SHETANI AKIZEEKA ANAGEUKA KUWA MALAIKA
 
Kwa mawazo yako Jide wa zamani ni yuleyule wa sasa kimuziki??watu tushamsahau kabisa...usiongee ilimradi tu umetia comment...Clouds ana mkono mkubwa katika muziki wa bongo...Jide alikuwaga anapata promo sana Clouds..baada ya ugomvi wao mtu alipotea hapo
Unaongea ujinga gani wew
Ile ndi ndi ndi ilipiga show nchi nzima na watu kapata kibao tu........kapenge kamasi izo kwanza
 
Kwa mawazo yako Jide wa zamani ni yuleyule wa sasa kimuziki??watu tushamsahau kabisa...usiongee ilimradi tu umetia comment...Clouds ana mkono mkubwa katika muziki wa bongo...Jide alikuwaga anapata promo sana Clouds..baada ya ugomvi wao mtu alipotea hapo
Lady Jaydee ni Legend pale ukumbi wa mlimani city kwenye "naamka tena" ilijaza na hit song ya ndindindi bila clouds.
-*baada ya clouds kumaliza tofauti na Sugu, Lady Jd nashauri pia wamalize na wasanii wengine pia kama kina ruby, dudu baya, rama dee nk.
 
Jide mzungumzie hukohuko dar tu...mikoani kasahaulika kabisa..ngoma zake zingekuwa zinapigwa kwny clouds media inge keep umaarufu wake on da track
 
Clouds wanaona mbali ....washashtuka kuwa sasa jeuri inaelekea kwisha ....wanatengeneza njia .....ila deepdown wameathiri mziki ,umedumaa walikuwa na uwezo wa kupush ila ndo vile ....
Jide alijikaza sana ama sivyo angekuwa kama hao wengine wanaosujudia ...
Taratibu mabadiliko yaja ...
 
Jide mzungumzie hukohuko dar tu...mikoani kasahaulika kabisa..ngoma zake zingekuwa zinapigwa kwny clouds media inge keep umaarufu wake on da track

Acha uwongo labda upo Katavi, jide kapiga show dodoma Mara 2, Mwanza, Tanga , Morogoro, Iringa , Mtwara , Geita, Kahama n.k na kote kajaza kumbi pomoni ! Hebu nambie msanii gani wa promo za clouds anayeweza piga show za jide ukiwatoa diamond na kiba?
 
Jaman jide akufa kimziki ila kuna vitu alikosa , kusema ukweli clouds ndo wameshikilia bong flv
 
Back
Top Bottom