uza kafuge kuku WA kienyeji
simu yangu ya huawei y 300 inasumbua proximity sensor, kiasi ambacho nikimpigia mtu simu ziwezi kukata hadi nitumie power button, pia ikiwa ime sleep ziwezi kuitumia hadi nitumie power button, nini solution yake wadau
hivyo ulivyovitaja vina mahusiano gani na proximity? na simu simu ikisleep si unawake na power button? au?
Mtoa mada proximity sensor kazi yake ku save power kwa kuzima mwanga wa screen pindi simu inapokuwa sikioni, au hata ukipiga simu au ukapokea simu, jaribu kuziba na mkono sensor za hapo juu ya kioo utaona screen light goes off, hivyo sioni mahusiano hayo na kukata simu.
hivyo ulivyovitaja vina mahusiano gani na proximity? na simu simu ikisleep si unawake na power button? au?
proximity inafanya simu iwe inasleep na ku wake automatic ukipigiwa or ukipiga simu na kuiweka sikioni but tatizo la hii simu yangu ni kuwa time simu inapokuwa imesleep automatic haiwake automatic as it supposed to be.