donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,141
salaam wakuu,
habari za mchana? kwa kifupi mi ningependa kufaham nin siri ya maajabu ya hawa viumbe wa 92kj. juzi kuna komando 1 alikuja pale mlandiz ucku kunywa bia, sasa baada ya kulewa akataka arudi mpaka ngelengele kwa kucrawl, na kwel akaanza kuanzia pale sheli na kwnda umbali mref kdgo tena kwa spidi ya hatari. ilipigwa simu kikosn kwet hapa 832kj nakutumwa defndr yenye ma mp kwenda kumchkua. cha ajabu jamaa alikubali fresh kwenda ila walipofika main gate hawakuweza kumuona yule komando ndan ya gari wakat alikua na escort ya watu wawil wamekaa nae kwenye gar kushoto na kulia af lock zilikua zimefungwa milango. nikiunganisha na ile ishu ya JK alipotembelea pale 92 ndo najiuliza hawa jamaa wana siri gan kwenye mafunzo yao?
mmmmhhhh.............
kumbe na wewe ni mjedah!..........ongera sana
sasa wataka kutuaminisha kwamba hawa makomandoo ni wachawi? meaning wana tumia imani zingine?
je kwan jk alipokuja huko kikosin 92 kulitokea maajabu gani?

Siyo uchawi wala imani ....bali ni mbinu ambazo nawe waweza kujifunza na kufanikiwa kuzitumia...pia hata ukaziboresha mbinu hizo....hakuna cha uchawi hapo wala nini...!!!
salaam wakuu,
habari za mchana? kwa kifupi mi ningependa kufaham nin siri ya maajabu ya hawa viumbe wa 92kj. juzi kuna komando 1 alikuja pale mlandiz ucku kunywa bia, sasa baada ya kulewa akataka arudi mpaka ngelengele kwa kucrawl, na kwel akaanza kuanzia pale sheli na kwnda umbali mref kdgo tena kwa spidi ya hatari. ilipigwa simu kikosn kwet hapa 832kj nakutumwa defndr yenye ma mp kwenda kumchkua. cha ajabu jamaa alikubali fresh kwenda ila walipofika main gate hawakuweza kumuona yule komando ndan ya gari wakat alikua na escort ya watu wawil wamekaa nae kwenye gar kushoto na kulia af lock zilikua zimefungwa milango. nikiunganisha na ile ishu ya JK alipotembelea pale 92 ndo najiuliza hawa jamaa wana siri gan kwenye mafunzo yao?
Chini ya viti waliangalia vizuri???!!!