Wanaume walio wengi wanapenda wanawake walio na makalio makubwa,hii ni kwa sababu inaongeza mihemuko kabla na wakati wa tendo😛ia maumbile haya yametokea kuwavutia wanaume wengi hata kuyatazama tuKatika dada 10 utakaokutana nao iwe kwenye matembezi, sehemu za starehe au nyumba za ibada au hata kwenye mabasi ya mwendo kasi, kati ya hao 10 basi 8 kati yao wamejazia haswa huko nyuma yaani wana makalio makubwa.
Zamani ilikuwa ni nadra sana kuwakuta wako hivyo mabinti wengi tuliwatambua uzuri wao kwa sura na tabia zao.
Lakini siku hizi uzuri unatambuliwa kwa ukubwa wa wezere na sio sura tena hali inayosababisha kila mdada unayepishana nae kuwa vizuri sana maeneo husika. Yaani hata uswahilini kwetu huku Manzese, Mbagala, Tandale na kwingineko wadada kama hawaendi chooni. Wadada ni nini siri ya mafanikio haswa? Maana hata huko mitandaoni picha zinapigwa kwa kutuonesha makalio, nini siri haswa?
alaa kumbeWanaume walio wengi wanapenda wanawake walio na makalio makubwa,hii ni kwa sababu inaongeza mihemuko kabla na wakati wa tendo😛ia maumbile haya yametokea kuwavutia wanaume wengi hata kuyatazama tu
Hii imesababisha wadada wengi kutambua hitaji la wanaume na kulitafutia ufumbuzi:kama ifuatavyo
1:wanatumia dawa za kuongeza hips na makalio
2:kuvaa hips bandia na makalio bandio!!!
MUKWANO
Ndio hivyo ndugu yangu!!@Mussolin5alaa kumbe
Madhara yake watakuja kuyaona soonNdio hivyo ndugu yangu!!@Mussolin5
Ndo hivyo Nifah,nakushauri usije thubutuBaada ya miaka 10 warembo wa asili watakuwa wanahesabika.
Wa kuoza wataoza, wengine watakuwa hawatoki ndani.
Acha wafurahie sasa, wakati ni wao.
Subiri Baada Ya Muda Tu... Time Haidanganyi hata. Ukizingatia Nchi zetu masikini Ananunua Dawa Ya Bei Poa Sanaaa
Ni kweli mkuu!!hii ipo wazi kabisaaukitizama usawa wa goti na paja tuu unapata kujua siri ya mafanikio yake huyo wa nyuma
Na wala sina wazo hilo, asante.Ndo hivyo Nifah,nakushauri usije thubutu
Then your a good lady!!Na wala sina wazo hilo, asante.
[emoji5] [emoji5] [emoji5]Then your a good lady!!
Hahahahahah me huwa sielewi wengine miguu midogo tako sasa duuu kubwa hadi aibu kuliangaliaukitizama usawa wa goti na paja tuu unapata kujua siri ya mafanikio yake huyo wa nyuma
Shauri ya kula mihogo bhaana.Katika dada 10 utakaokutana nao iwe kwenye matembezi, sehemu za starehe au nyumba za ibada au hata kwenye mabasi ya mwendo kasi, kati ya hao 10 basi 8 kati yao wamejazia haswa huko nyuma yaani wana makalio makubwa.
Zamani ilikuwa ni nadra sana kuwakuta wako hivyo mabinti wengi tuliwatambua uzuri wao kwa sura na tabia zao.
Lakini siku hizi uzuri unatambuliwa kwa ukubwa wa wezere na sio sura tena hali inayosababisha kila mdada unayepishana nae kuwa vizuri sana maeneo husika. Yaani hata uswahilini kwetu huku Manzese, Mbagala, Tandale na kwingineko wadada kama hawaendi chooni. Wadada ni nini siri ya mafanikio haswa? Maana hata huko mitandaoni picha zinapigwa kwa kutuonesha makalio, nini siri haswa?
[emoji106][emoji5] [emoji5] [emoji5]
Shukran.