Mimi nadhani tunapoilaumu Bodi ya mikopo tusiangalie watu awliokosa mikopo tu,tuangalie pia wale waliopata kwani wapo watoto wengi maskini ambao kama wasingepata mkopo wangeshindwa kusoma. Bodi wanaendeliea kujitahidi sana hasa ukilinganisha kipindi walipoanza miaka ile ya 1995/6,-2012 wamepiga hatua sana. Jamani tuangalie pia mazuri waliyoboresha, Hongera sana Bodi ya Mikopo.