Nini sababu ya uume kushindwa kusimama?

Nini sababu ya uume kushindwa kusimama?

Ashura9

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
740
Reaction score
485
Kushindwa kwa uume kusimama pia hutambulika kama kuishiwa nguvu za kiume. Ni kitendo cha mtu kushindwa kusimamisha uume au kudumisha usimamaji wa uume kwa muda wa kutosha kufanya tendo la tendo na mwenzake. Lakini wakati hii inaweza kumfikisha mwanaume katika upeo wa raha (orgasm), hali hii yaweza kumuacha mwanamke akiwa hakutosheka.

Kushindwa kwa uume kusimama kunaweza kutokea kwasababu ambazo ni pamoja na;

  • Umri mkubwa zaidi
  • Kisukari
  • Kujichua/Punyeto
  • Uzinzi
  • Kukosa Elimu ya vyakula
  • Kutokujishughulisha na mazoezi
  • Shinikizo la juu la damu
  • Maradhi ya moyo
  • Uvutaji sigara/tumbaku
  • Utumiaji uliozidi wa kafeina.
  • Na kama hujuwi kafeina ni;
  • Kafeina ni nini?

    Kafeina ni madawa ya kulevya kundi la ‘Stimulants drugs’.

    Utashangaa. Habari ndiyo hiyo. Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai hii kila siku au kahawa, siku asipokunywa kichwa humuuma, ni kwasababu amekuwa mtegemezi au teja wa kafeina.

    Kafeina ni kiungo mhimu karibu katika soda zote zenye rangi nyeusi; Coca-cola, Pepsi, Sayona nyeusi, Azam cola na kadharika. Kafeina huongezwa pia katika Red bull, Malta na katika baadhi ya dawa za kupunguza maumivu mwilini.

    Kwahiyo Kafeina ambayo hupatikana katika chai na kahawa ni aina mojawapo ya madawa ya kulevya.

  • Kudhurika kwa neva au uti wa mgongo
  • Madawa ya kulevya kama vile bangi, heroini, kokeini, na pombe
  • Kiwango kidogo cha homoni ya testerone
  • Athari kutoka kwa baadhi ya dawa
somo litaendelea --->> hapa.
 
Sasa umesema uume kutosimama halafu hapo hapo unasema mwanaume atafurahia tendo ila mwanamke atabaki na hamu kwa kutomridhisha.sasa kama hausimami unaingiaje kwenye uke?ama ulimaanisha kutosimama ipasavyo?
 
Na mazoea ya kuona sehemu za siri kila wakati zikiwa hadharani..Kina dada kuvaa vinguo vifupi ama kuvaa vinguo vipesi bila ile nguo ya ndani, Ama nguo inayoacha manyonyo yote nje hisia zinapungua mno...Zamani ulikuwa hata kwa bahati mbaya ukiguswa na mdada tu kitu pima kama chuma sembuse akuvulie nguo...
 
Mkuu ushawahi kukutana nayo hiyo? Binafsi case kama hyo huwa nakubali kuonekana sina nguvu za kiume aisee... naenda kimoja tu cha kibishi kufidia kidogo zile gharama
saa ingine wanawake wanakuaga viumbe vya ajabu yani pozi nyiiingi kumbe anatembea na chemba cha choo cha jiji yani ukivua tu harufu yote ya marashi inapotea ghafla bin vuuup ....
 
Inabidi Rais atangaze hali ya hatari.
Chips mayai mbaya sana
 
Hilo tatizo ni common sana ,ukweli ni kwamba hisia huanzia katika ubongo then taarifa hufika ktk viungo husika kama una mawazo huwezi dinda na hata ukidinda hautodumu kwa muda mrefu ,Another thing ni uchovu unaweza ukawa na hisia kali za ngono ila ukawa umeovadose mwili na akili kwa kazi automatic utadindisha mazingira pale unaona mazingira hayapo sawa huwezi dinda ataufanye nini ,usafi na maumbile unaweza ishiwa nguvu zote ukikutana na hali chafu ya mwanamke au maumbile yake kwa mfano ugundue demu ana michirizi ya damu au makovu makubwa au hata mabakamabaka mwilini achilia mbali harufu ya K na kinywa ,chakula some food sio vizuri kwa gemu ilo liko wazi magonjwa nalo lipo wazi ,upiga punyote inategemea coz sometimes punyeto inaweza kuwa kama mazoezi flani kabla ya mechi ila mazoezi ya sizidi gemu yenyewe hapo ndipo wanaume wengi wanakosea ,punyeto ni kama vile simba akikosa nyama akala nyasi ,matumizi ya condom ukiwa na mpini mkubwa condom itakuwa inakupa pingamizi flani la kusimama muda mrefu lastly useja was muda mrefu kuna watu wamekaa muda mrefu sexually inactive kwao ngono sio kitu kikubwa hana msukumo was kimawazo juu ya tendo lenyewe ,kwa kumalizia tu ni ulevi ukinywa kiasi unakuwa super in bed tena balaaa ukizidisha unakuwa na nyege nyingi kichwani ila viungo vya kufanyia gemu vinakuwa havitoi ushirikiano coz vimelegea na pombe
 
Back
Top Bottom