Nini sababu ya kutokujiamini

Namna nzuri kwa uzoef wangu ni kuwa vulnable. Yaan badala ya kujijengea wigo wa kuzuia mambo mapya au task mpya....go for it. Ukiwa unahisi woga ujue unajifunza kitu kipya na mara utakapokimudu woga utapitia dirishani.....to me hii ndo njia bora ya kupambana na kutojiamini...be vulrable!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nice Sana Mr kwa hili nahisi nitaweza kupunguza hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…