idrissa ukwaju
Member
- Mar 20, 2017
- 35
- 27
King Joseverest is back with nu whip.[emoji111]Sanasana ni HOFU mkuu
Ndio nimerudi mkuuKing Joseverest is back with nu whip.[emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naaam mkuuJombaaaaa
Sent from my TV
Jose nakuomba pmSanasana ni HOFU mkuu
Haya sawaJose nakuomba pm
Ni kutenda maovu na kuyakimbia,kila kitakachotokea unahisi ni majibu ya uovu uliyoutenda awali..kukimbia mimba,kukimbia madeni,kutapeli,kutumia kisicho chako kama gari,nyumba n.kWakuu wa Jamii Forum
Ningeomba tujuzane hapa katika uzi huu,
Tatizo linaloweza kusababisha mtu asijiamini na afanye kipi ili kuepuka tatizo hili maana limeshamili sana hasa kwa vijana wa sasa hivi kupelekea kushindwa kutekeleza majukumu yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kutenda maovu na kuyakimbia,kila kitakachotokea unahisi ni majibu ya uovu uliyoutenda awali..kukimbia mimba,kukimbia madeni,kutapeli,kutumia kisicho chako kama gari,nyumba n.kWakuu wa Jamii Forum
Ningeomba tujuzane hapa katika uzi huu,
Tatizo linaloweza kusababisha mtu asijiamini na afanye kipi ili kuepuka tatizo hili maana limeshamili sana hasa kwa vijana wa sasa hivi kupelekea kushindwa kutekeleza majukumu yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasisi WAKRISTO Biblia inatuencourage sana kwa kutupa maneno ya hamasa (Inspirational words) ambayo ni Hai na Kweli na yanayomtaka mtu kujiamini na kutokuwa na Hofu.Wakuu wa Jamii Forum
Ningeomba tujuzane hapa katika uzi huu,
Tatizo linaloweza kusababisha mtu asijiamini na afanye kipi ili kuepuka tatizo hili maana limeshamili sana hasa kwa vijana wa sasa hivi kupelekea kushindwa kutekeleza majukumu yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maumbile ukimaanisha ninSababu zipo nyingi lakini inatakiwa tujue maumbile yake alivyo na mazingira aliyolelewa(hii ni tiba kisaikolojia kama unahitaji nenda kwa wataalamu)
Kama upo Dodoma nitafute tupeane tiba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi hili linaweza kuwa sawa nimekupata mkuuSababu kuu inatokana na malezi ya wazee na walimu. Hawa kama walikujenga tokea udogoni kwa njia za kujiamini basi utakulia hivyo. Lakini kama walikulea na ile style ya kuchapwa kwa kila unalosema na hupewi nafasi ya kujieleza. Suala jee ipo njia ya kubadilika na kuweza kujiamini? Kiukweli inawezeka unachotakiwa kukifanya usiweke kitu moyoni, fanya uamuzi bila ya kuogopa ku fail, na fanya kwa manufaa yako sio kwa watu watakuja kukuona hivi sijui vile. Piga moyo konde na jiamini kama kidume[emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hpo nimekupata mkuuKwasisi WAKRISTO Biblia inatuencourage sana kwa kutupa maneno ya hamasa (Inspirational words) ambayo ni Hai na Kweli na yanayomtaka mtu kujiamini na kutokuwa na Hofu.
Hofu ni ya SHETANI !!!!
KWA MFANO: Ukimkuta hata Mwanamke Mjane kabisaaaa au Mtoto yatima lakini awe yupo karibu na Mungu yaani ana uhusiano mzuri na Mungu wake anakuwa na Tumaini na defence ya ajabu...basi utamkuta kuwa ni JASIRI HASWA.
Biblia inasema Mwanamke huyo ni kama SIMBA JIKE (yule jasiri awindae)
Kuna usemi wa kidhungu unasema hivii:
"The one who nil before God can stand before anyone"
Nimewahi kuona watu wajasiri sana na wala hawana elimu kubwa sana ila Wana Mungu.
Well...nisiseme meeengi kwakuwa hii sio misa ila in a nutshell ni kuwa vitu vinavyompa mtu ujasiri kibinadamu ni:
- Uwezo wa kiakili na Maarifa
- Uwezo wa kiuchumi/ kifedha
- Exposure (pale anapokuwa familiar na vitu vingi)
- Experience (Uzoefu katika kitu flani)
Hayo yanampa mtu KUJIAMINI.
Nitakujibu hapa kwenye interview, hii nchi za wenzetu huanza tokea shule. Utakuta mtoto tokea yupo elementary school, middle school na high school wanatakiwa wasimame mbele na kujieleza. Na kuna baadhi ya wakati hufanyika maonesho ya shule unakuta mwanafunzi anatakiwa kujieleza mbele ya watu zaidi ya 100. Njia hii humjenga mtoto/mtu kujieleza kutokana kishafunzwa tokea chekechea.Kuna vitu nimepata kutoka ktk Uzi huu na nahisi kuna Watu ambao tabia hii ipo katika nafsi zao na unaweza ukakutana na mtu hata kwenye kuongea nae tu ukiwa umepotezana muda mrefu unamgundua tu amepoteza kujiamini,
Pia linapokuja suala la enterview (usaili) mtu akisimama tu unamuona hajiamini nashindwa kuelewa tatizo ni lipi
Sent using Jamii Forums mobile app