Mkuu,
Sasa kama ulikuwa na watumiaji wenyewe tena ni "wana wako kama ulivyoandika" sasa ni kwa nini haya maswali yote usiwaulize wao moja kwa moja wenyewe!?
Japo, naona maelezo yako yenyewe umejibu sababu za wao kuutumia huo ugoro.
Au hujui kuwa tayari umejijibu maswali yako!?
Any way, each tree has its own seedlings.