Nini ni vigezo vya kutambua umaskini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini ni vigezo vya kutambua umaskini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MNYAKI MZALENDO, Jul 1, 2011.

 1. M

  MNYAKI MZALENDO Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za fikra sahihi[​IMG]

  mada yangu inalenga kufahamu vigezo vinavyotumika kupima umaskini,ila nitahadharishe kwamba, katika kuchangia tusiegemee vigezo vya uchumi na vile ulivyofundishwa darasani tu, tujaribu kushirikisha fikra sahihi juu ya hii mada.

  KARIBUNI....
   
Loading...