Nini mchango wa BVR katika uchaguzi huu?

Nini mchango wa BVR katika uchaguzi huu?

mlude-go

Senior Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
118
Reaction score
9
Sijapata kuona tofauti ya matumizi ya kitambulisho cha kupigia kura cha 2010 na hiki kitambulisho cha BVR,kimatumizi ktk uchaguzi huu na uliopita taratibu ni zile zile,wakuu naomba kujuzwa nini MCHANGO iliyopatikana kwetu ktk BVR?


NB:- Hakika hii tenda imetembea na mkwanja mrefu
 
Back
Top Bottom