NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,578
- 3,674
Naomba msaada wakufahamu ni nini kazi ya hiki kifaa na namna kinavyotumika.
Nimejaribu kuelewa lakini nadhani lugha imenichanganya kidogo huko mitandaoni.
Kuna mtu kaniletea ajue kazi yake kanikuta na mimi sifahamu
Sina camera nzuri, ila kina antena mbili na kadishi kadogo
Kifaa kimeandikwa.
HIGH-POWER
CLIPPER B/G/N USB ADAPTER
LONG RANGE AND HIGH SENSITIVITY.
kwa chini Katika mabano kimeandikwa
TERNARY PA
Asanteni...!!!