WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 57
Eh, mimi pia nimezoea kufanya hivyo. Hebu tupeane akili kidogo, kwenye pacha tunatakiwa tufanyeje?Kazi ni moja tu na umeshaitaja. Ni kuwapa taarifa watumiaji wengine wa barabara kuwa gari yako ina hitirafu hivyo huwezi kufuata taratibu husika katika eneo husika. Kuna wengine huwa wanawasha hazard mahala penye pacha nne wakimaanisha wananyoosha. Kumbe wanasahau aliyeko kulia atadhani unakata kulia na huyu wa kushoto atajuwa unakata kushoto.
Eh, mimi pia nimezoea kufanya hivyo. Hebu tupeane akili kidogo, kwenye pacha tunatakiwa tufanyeje?
Eh, mimi pia nimezoea kufanya hivyo. Hebu tupeane akili kidogo, kwenye pacha tunatakiwa tufanyeje?
Hutakiwi kuwasha taa za hazard. Hii inamaanisha unanyosha. Kuna wengine huwa wanawashiana mitaa mikubwa kwa kumuliika mulika kuonyesha kuwa amekuruhusu kufanya unachoomba. WANAKOSEA. Maana ya kufanya hivyo ni kuwa anayewasha anamuonya anayewashiwa kuwa anachokifanya si sahihiBarabara nyingi za Tz hazina traffic light na mie mara nyingi nikifika kwenye barabara kama hizo huwa nawasha hazard. Naomba elimu zaidi
mkuu sio kwa sababu ya mbwembwe tu pia ni kwa sababu wanakuwa wanaenda mwendo mdogo kuliko kawaida kwa hiyo wanakuwa wanatoa ishara kwa watumiaji wengine wa barabara.Wengine wanawasha wakati wakiwa wanafanya mbwembwe kwenye msafara wa harusi kuonyesha mwendo anakwenda nao ni taratibu na mbwembwe kiasi!