Nini maoni yako kama mdau wa elimu?

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
kwanza poleni/hongereni kwa mapumziko ya week end.

najua wengi wenu hapa ni wazazi au walezi kama mimi au wazazi watarajiwa.

nimeona niwashirikishe katika hili.

"msomi wangu" siku kadhaa zilizopita alifanya mitahani ya awali ya kujiandaa na mtihani wa taifa wa darasa la nne.
wenyewe wanaita "pre mock examination".

moja ya somo alilofanyia mtihani ni somo la jiografia(geography).

nini maoni yako kama mzazi au mdau wa elimu?.
9826644548329135ecc85fc4a8a42a9f.jpg
256eb781414ea7917542f18117acd88b.jpg
c70550ab9d1aff93ace3184283ecdd63.jpg
 
Back
Top Bottom