Nini mantiki ya kumpiga mwenza wako?

Nini mantiki ya kumpiga mwenza wako?

ANGALIZO
Piga mpaka ashindwe kupiga selfie kwa week
sio unapiga mpaka haoni selfie milele mara sijui MOI ..noo noo
huyo ni wako..kesho ukimepleka moi utaponea wapi usiku..so ishi nao kiakili maninja wenzangu
 
Kwakweli wanawake mna weza kukera mkakera mpaka mtu akashindwa kujizuia hasira zake...
na hua kuna muda mnaomba kipondo yani...mimi nakumbuka nimeoa tu enzi hizo akaanza kujiwehusha yani kama alivamia ndoa na gia namba nne..yani akawa mshari, mkaidi nk..in 5 months nilimvumilia na uzuri tulikua tunasuluhishwa na wazazi wetu kutwa wakimkanya mapicha picha yake...ase kuna siku alizingua yan alijua kabisa siku hiyo nime panik na bado alijibu shit, nikaagiza dada aende na mtoto kwa jirani...niligonga makofi hayo na mtama mmoja mkali ...hakwenda kazini week..
hakunipenda mwezi mzima...ila uzuri alikiomba kipondo, basi kesi ikawa imeishia hapo...ila anajua najutia kweli kumfanya kile kitendo ila hakukuwa na namna..na mpaka kesho amejitahidi kunyooka na kupunguza wenge maana anajua huyu mtu capability zake sio ndogo,,

ANGALIZO : ninaposema kuomba kipondo namaanisha nakukanya kitu, nakukwambia usifanye kwenye paa langu ..na bado unafanya,na nimekukanya zaid ya mara tatu kwakukuambia ukirudia sitojitambua action zangu..na bado unafanya( kitu hiko kikiwa sio chema wala endelevu kukua kiroho na kimahusiano )

kwa wenye ndoa tu ndo huwa wanaelewaa.,,nyie wengine madaladala mnaokuja kujibuu ooh bora aniache sijui sijawah kupigwa na baba yangu hamuwezi elewa connection kati ya kipigo cha mara moja moja na NDOA..
hakika!!
siamini ktk kupiga mwanamke hata kidogo..
ila kuna wanawake wanajua kukera wenzao ilhali wanajua fika kuwa hao wenza wao hasira zi karibu...lakini bado wanalitibua kwa makusudi
 
Back
Top Bottom