Ndugu zangu na wana jamii forums, nina maswali machache ambayo yanaitaji Msaada... Ni malengo gani mke mchawi anaweza kuwa nayo? Maana kama ananiloga nisifanikiwe kwenye ajira yangu na yeye anaathirika, Kama analoga watoto nayeye anaathirika, sasa swali langu ni kwamba ni malengo gani anaweza kuwa nayo kwa familia?
Mimi ni Mkristo, Mkatoliki, nimesoma, nimeajiriwa kama mkaguzi wa hesabu, sijawahi tegemea ushirikina hata kidogo kwenye maisha yangu!
Naomba majibu!
@[HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] Jr

Siku zote mchawi huwa haangalii mtoto mke mume mama au baba yeye anafanya tu haijalishi wewe ni MTU muhimu kiasi gani kwake LA muhimu ongeza imani yako atabaki mabua tu
Hata kama yatamfikia ila lengo lake litimieHaangalii mazara hata kama yanamfikia?
Hata kama yatamfikia ila lengo lake litimie
Hapo unazungumzia uchawi au ushirikina..?
Huyo ni mchawi mkuu..Mchawi, ingawa nashindwa kutofautisha mchawi na mshirikina, ila huyu sio wakwenda kwa mganga kupewa dawa, hapana huyu analoga kabisa
Huyo ni mchawi mkuu..
Kama umezaa naye mtoto 1 tu muache saa saba mchana hao viumbe sio kila kitu anakiunganisha na uchawi. Akila pesa ikiisha atasema ni chuma ulete anatafuta dawa.