R Redey Member Joined Aug 18, 2009 Posts 47 Reaction score 6 Aug 11, 2010 #1 Huwa nasikia vijiweni kuwa simu huleta madhala kwenye ubongo je ni kweli?
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 29,451 Reaction score 61,222 Aug 11, 2010 #2 Redey said: Huwa nasikia vijiweni kuwa simu huleta madhala kwenye ubongo je ni kweli? Click to expand... Haya sasa... ona mwenyewe... ulikimbia umande wa asubuhi matokeo yake hata kiswahili kinakushinda kuandika....
Redey said: Huwa nasikia vijiweni kuwa simu huleta madhala kwenye ubongo je ni kweli? Click to expand... Haya sasa... ona mwenyewe... ulikimbia umande wa asubuhi matokeo yake hata kiswahili kinakushinda kuandika....
R Redey Member Joined Aug 18, 2009 Posts 47 Reaction score 6 Aug 11, 2010 Thread starter #3 macho_mdiliko said: Haya sasa... ona mwenyewe... ulikimbia umande wa asubuhi matokeo yake hata kiswahili kinakushinda kuandika.... Click to expand... siyo kosa langu ila wingi wa lugha kwenye bongo yangu ndo unanichanganya. Ila nikichanganya na kizungu mbona husemi?
macho_mdiliko said: Haya sasa... ona mwenyewe... ulikimbia umande wa asubuhi matokeo yake hata kiswahili kinakushinda kuandika.... Click to expand... siyo kosa langu ila wingi wa lugha kwenye bongo yangu ndo unanichanganya. Ila nikichanganya na kizungu mbona husemi?
Albedo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,558 Reaction score 1,462 Aug 11, 2010 #4 Redey said: siyo kosa langu ila wingi wa lugha kwenye bongo yangu ndo unanichanganya. Ila nikichanganya na kizungu mbona husemi? Click to expand... Nini maana ya Tetesi
Redey said: siyo kosa langu ila wingi wa lugha kwenye bongo yangu ndo unanichanganya. Ila nikichanganya na kizungu mbona husemi? Click to expand... Nini maana ya Tetesi
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Aug 11, 2010 #5 Ndege ya Uchumi said: Nini maana ya Tetesi Click to expand... ni fununu
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Aug 12, 2010 #6 macho_mdiliko said: Haya sasa... ona mwenyewe... ulikimbia umande wa asubuhi matokeo yake hata kiswahili kinakushinda kuandika.... Click to expand... Hongera ambaye hukukimbia umande!
macho_mdiliko said: Haya sasa... ona mwenyewe... ulikimbia umande wa asubuhi matokeo yake hata kiswahili kinakushinda kuandika.... Click to expand... Hongera ambaye hukukimbia umande!