Tatizo niliwah kutongozwa na bro wke b4 yy na wala ckutembea nae inanipa wkt mgumu kumkubal mdogo mtu na ni watumbo moja.
nadhani kama kuna kitu unaficha that why unakosa amani...!! any way ukweli unao mwenyewe!! me sion cha kukuogopesha hapo
Ha ha ha eti king'amuz ....hofu yngu ni huyo mzee km atakutana na ding atamwambiaje?
Hakuna nnachokificha mkuu ila ni maswal nayojiuliza juu ya huyo mzee ambaye ni rafik wa baba kuna urahis gn ukaongea nae habar ya mwanamke mpk ukafikia kumpigia cm.
Hakuna nnachokificha mkuu ila ni maswal nayojiuliza juu ya huyo mzee ambaye ni rafik wa baba kuna urahis gn ukaongea nae habar ya mwanamke mpk ukafikia kumpigia cm.
miss strong huyo.....Yaani anaogopa hata kivuli chake.sasa unaogopa nini kwani umempa mzigo?! lakin hilo la kuwahi kuwa na bro wake ukamkataa now uko na young wake mmmmh?!