Ha ha ha. According to
google translate tafsiri yake kiswahili kasheshe kweli kweli: Jaribu neno moja moja. LMFAO (laughing my fu.ck.ing ass off).
1. laugh= kicheko
2. my = yangu
3. f.u.**= kut**ba
4. Ass= punda
5. Off=mbali
Sasa twende kazi: laughing my f.u..*ing a.s.s off itakuwa mojawapo ya sentensi hizi:
Nacheka huku nikimt***a punda wangu mbali, nacheka punda wangu anat***ewa mbali,.....kwa vyovyote vile lazima unaongelea Punda na Kut*****a! Haya mambo ya kuiga iga wazungu haya shauri zenu! hahaha