W Wild Flower JF-Expert Member Joined Jul 20, 2023 Posts 967 Reaction score 1,930 Mar 2, 2025 #1 Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”. Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu.
Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”. Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,894 Reaction score 82,125 Mar 2, 2025 #2 Ni moshi au ubani au nakosea eti ephen_ Cc min -me
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,872 Reaction score 193,784 Mar 2, 2025 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Kasongo_2024 Member Joined Mar 9, 2024 Posts 49 Reaction score 56 Mar 3, 2025 #4 Uvumba ni ubani Attachments Ubani.jpg 438.8 KB · Views: 20
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 2,361 Reaction score 8,491 Mar 3, 2025 #5 Uvumba au mavumba, ni unga unga wa mti au mizizi ambayo hutumika na waganga wa jadi/kienyeji.
HOLY BLINDFOLD JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 3,690 Reaction score 6,374 Mar 3, 2025 #6 Kasongo_2024 said: Uvumba ni ubani Click to expand... Na Ubani Ni Uvumba?
H Hajbaruan Member Joined Feb 18, 2025 Posts 17 Reaction score 9 Mar 3, 2025 #7 Wild Flower said: Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”. Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu. Click to expand... Uvumba ni kama udi tu pia ! Watu wengine huwa wanachanganya sehemu moja kwenye chetezo kupata harufu nzuri
Wild Flower said: Huwa tunasisitiza mara nyingi kwa kusema “Kwa Udi na Uvumba”. Sasa najiuliza maana ya ‘Uvumba’ ni nini maana Udi tunaufahamu. Click to expand... Uvumba ni kama udi tu pia ! Watu wengine huwa wanachanganya sehemu moja kwenye chetezo kupata harufu nzuri