Nimegundua Wengie Wa Waliotajwa Majina Yao Ya Kurekebisha Taarifa Zao Ni Wale Ambao Hawakutoa Jasho lao Katika Kuomba Mkopo! Walilipia Kila Kitu Stationary Wakajaziwa Tu Fomu, Au Wamejaziwa na Jamaa Zao bila Ya Wao Kuwepo Ndiyo Maana Zikawa na Mapungufu Mengi Ya Kuto Kuambatanisha Attachments Muhimu.