πππKuna binti nilimtongoza.
Nilimuona insta
Niliona Ngozi inawaka
Nikajua nimepata katoto ka afu 2
Niende nikakatafune
Kuja kuonana naye live mzuka wote uliisha.
Kwanza kafupi halafu kibonge
Hivi Clere lotion inaweza kumfanya mtu a glow?Ku glow kwa Jiki na Dikompoza.
πππ
Sijui kwa kweli.Hivi Clere lotion inaweza kumfanya mtu a glow?
πNi neno jipya mbadala wa 'kujichubua'